malivawan10
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 541
- 310
MCQ siyo kitu kibaya kwenye assessment ya mwanafunzi na kwa mwalimu anayejua jinsi ya kutunga siyo mtihani rahisi hata kidogow
MCQ yanahitaji uweze fikikiria sana na ina discourage kukariri
tofauti na short answers au essay qns ambazo wanafunzi wana shusha notes kama zilivo kwenye handout
mcq
match item
short answer
essay qns
bado ni format nzuri tu kwa elimu yetu
nani anasema multiple choice ni nyepesi huyo!!! jibu maswali yafuatayo
1. soma sentensi zifuatazo kisha jibu swali chini,
A; waziri mkuu wa kwanza wa tanzania ni Kawawa
B; rais wa zanzibar ni makamu wa pili wa rais wa tanzania bara
C; Militon Oborte aliyekuwa rais wa uganda ndo chanzo cha vita vya idd amin
D; Vita vya majimaji vilianza katika milima ya matumbi
E; Wangoni wote wa tanzania asili yao ni Africa kusini
je katika maelezo ya hapo juu, unafikiri yapi sio majibu sahihi
a: A, D na C
b: E, D na A
c: B, C na D ( )
d: all of them
e: none
MCQ yanahitaji uweze fikikiria sana na ina discourage kukariri
tofauti na short answers au essay qns ambazo wanafunzi wana shusha notes kama zilivo kwenye handout
mcq
match item
short answer
essay qns
bado ni format nzuri tu kwa elimu yetu
Multiple choice inapima usahihi wa uelewa wa mtu.
Kwa hiyo si jambo la ajabu kabisa maswali ya mitihani ya chuo kikuu kuwa ya multiple choice.
Kuna nchi ambazo vyuo vyake vikuu maswali mengi ya mitihani huwa ni ya mtindo huo.
Safi mkuu
Jibu ni e
But mcq ni kiboko ukikutana na mtunzi mzuri...
Kwanza inakupa chance mbili za kujitetea 1.unafikiria jibu sahihi na linakuewepo hapo 2.ukikosa jibu sahihi unaruhusiwa kubahatisha.