Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

MCQ siyo kitu kibaya kwenye assessment ya mwanafunzi na kwa mwalimu anayejua jinsi ya kutunga siyo mtihani rahisi hata kidogow

Huu ndiyo mchango wa msingi. Kwa kawaida, MCQ's zinapima kumbukumbu, uelewa, na utendaji, wa mada husika. Katika shughuli zangu za kufanya tathmini, hususani kwa wanafunzi wengi, objective questions (ikiwamo MCQ's, ni njia sahihi, ili kurahisisha usahihishaji.
Changamoto kubwa ni ufundi wa kutunga hayo maswali. Waalimu wengi hutunga maswali au yasiyo na majibu 'sahihi' au majibu yakiwa wazi kabisa. Mbinu za kutunga haya maswali ni rahisi, utekezaji ni mgumu.
 
Wadau nimeleta mada hapa ili kupata mawazo yenu ili nielewe kwa undani kiukweli nimeshtushwa na Mutiple Choice kuulizwa university tena mwaka wa 3 nikafikiria pengine kwa utaratibu tunazalisha mambumbumbu vyuoni asiyeweza kujenga hoja na kuitetea.
 
Maana wanafunzi wanaoandaliwa kwa design hii ni rahisi kutafuta Clue ya majibu mfano AAAAAAAAA au BBBBBBBBBBB kama mwalimu atatafuta urahisi wa kusahihisha
 
MCQ yanahitaji uweze fikikiria sana na ina discourage kukariri

tofauti na short answers au essay qns ambazo wanafunzi wana shusha notes kama zilivo kwenye handout

mcq
match item
short answer
essay qns
bado ni format nzuri tu kwa elimu yetu

Umeelezea vema ndugu, kwa kuongezea, maswali ya aina hii yana kanuni zake za kuyatunga, kanuzi zikifuatwa maswali haya huwa ni magum ajabu, pia maswali ya aina hii hugusa karibia kila sehem ya somo husika hivyo mwanafunzi anajaribiwa kwa upana sana kuliko ungetumia essay ambazo hugusa sehem ndogo tu ya somo.

Tatizo la maswali haya ni kwamba kuna wanafunzi tunawaita "test wise students" hawa kiukweli ni wataalam wa kuotea kwa hiyo mwanafunzi anaweza akafaulu bila hata kujua alicho jibu ni sawa au si sawa. Hili ni tatizo kubwa lakini ni mfumo mzuri maana anaejibu maswali haya lazima awe ameelewa somo na sio kukariri.

Kitu kingine, ulie leta maada, kama unatetea ubora wa elim, past papers unazikomalia za nn, hembu ziache na fanya mtihani tuone ubora wako.
 
According to Bloom Taxanomy.

AZx8EeDgVMYDAAAAAElFTkSuQmCC
 
fanya utafiti na vyuo vikubwa vya nnje unavyovijua jibu ndio iloilo.objectives question.mwanafunzi hapimwi na mtiani wa mwisho tu ndugu zangu.kuna
1.quez 2.assignment 3.presentation 4.class participation and other evaluation according to ur teacher. hacheni mawazo mgando.
 
MCQ's nilikua nayaogopa sana. Maana principle yake ni kwamba.''Majibu yote ni sahihi ila chagua lililo sahihi zaidi'' Hapa utakuta unakula kifuniko cha pen mpaka kinaisha kwakufikiri hilo jibu sahihi zaidi. Usiombe ukutane na Physical Geog.

Kwa hiyo usishangae kuyaona University level kwani yanamjenga mwanafunzi kufikiri zaidi kuliko maswali ya essay.

Vilevile Sio UDSM tu Hata vyuo vikuu vingi duniani vinatumia MCQ's.

Window7
 
Last edited by a moderator:
nani anasema multiple choice ni nyepesi huyo!!! jibu maswali yafuatayo

1. soma sentensi zifuatazo kisha jibu swali chini,

A; waziri mkuu wa kwanza wa tanzania ni Kawawa
B; rais wa zanzibar ni makamu wa pili wa rais wa tanzania bara
C; Militon Oborte aliyekuwa rais wa uganda ndo chanzo cha vita vya idd amin
D; Vita vya majimaji vilianza katika milima ya matumbi
E; Wangoni wote wa tanzania asili yao ni Africa kusini

je katika maelezo ya hapo juu, unafikiri yapi sio majibu sahihi

a: A, D na C
b: E, D na A
c: B, C na D ( )
d: all of them
e: none
 
gango2

Safi mkuu, Jibu nie.

But Multiple Choice Quiz ni kiboko ukikutana na mtunzi mzuri...

Kwanza inakupa chance mbili za kujitetea 1.unafikiria jibu sahihi na linakuewepo hapo 2.ukikosa jibu sahihi unaruhusiwa kubahatisha.
 
Last edited by a moderator:
nani anasema multiple choice ni nyepesi huyo!!! jibu maswali yafuatayo

1. soma sentensi zifuatazo kisha jibu swali chini,

A; waziri mkuu wa kwanza wa tanzania ni Kawawa
B; rais wa zanzibar ni makamu wa pili wa rais wa tanzania bara
C; Militon Oborte aliyekuwa rais wa uganda ndo chanzo cha vita vya idd amin
D; Vita vya majimaji vilianza katika milima ya matumbi
E; Wangoni wote wa tanzania asili yao ni Africa kusini

je katika maelezo ya hapo juu, unafikiri yapi sio majibu sahihi

a: A, D na C
b: E, D na A
c: B, C na D ( )
d: all of them
e: none

jibu ni C.
 
MCQ yanahitaji uweze fikikiria sana na ina discourage kukariri

tofauti na short answers au essay qns ambazo wanafunzi wana shusha notes kama zilivo kwenye handout

mcq
match item
short answer
essay qns
bado ni format nzuri tu kwa elimu yetu

aisee umeongea sense kijana!!! :thumbup:
 
Multiple choice inapima usahihi wa uelewa wa mtu.

Kwa hiyo si jambo la ajabu kabisa maswali ya mitihani ya chuo kikuu kuwa ya multiple choice.

Kuna nchi ambazo vyuo vyake vikuu maswali mengi ya mitihani huwa ni ya mtindo huo.

MCQs zinztoa nafasi kwa lecturers kumpima mwanafunzi katika wigo mpana zaidi ukilinganisha na essay ambazo haziwi accurate zinztegemea uwezo wa kujenga na kutetea hoja.

Ni nzuri kwa science subjects ambazo huhitaji blah blah
Tena kwa baadhi ya vyuo kuna penalty kwa kuguess(ukiosa unapigwa negative)

Binafsi naona MCQ zinamfanya mwanafunzi afikiri sana kuepuka na mitego ambayo mtunga swali ameiweka kwa either stem question au options za kuchagua.

Most medical schools ndani na nje ya nchi wanarecommend hii system
 
Safi mkuu
Jibu ni e
But mcq ni kiboko ukikutana na mtunzi mzuri...
Kwanza inakupa chance mbili za kujitetea 1.unafikiria jibu sahihi na linakuewepo hapo 2.ukikosa jibu sahihi unaruhusiwa kubahatisha.

Don't try this in med school!!
 
Chagua Jibu lililo sahihi zaidi;
Rais ajaye wa Tanzania ni
(a). Bernard Kamilius Membe
(b). Samwel Sitta
(c). Lazaro Nyalandu
(d). Saada Salum Mkuya
(e). Mwigulu Nchemba
 
Kijana acha kabisa.matiple choice za chuo zinakuhitaji uwe umesoma kitu kwa umakini kuliko essay unaweza tetea point,mfano sisi huku kuna ticha anakupa masharti ya ajabu.na kwenye sehemu mnayo kaa kila mmoja anapewa paper tofauti kidogo.unweza pata 1kati ya kumi na tano maana kila ukitafuta jibu unaona yote yanafanana.nadhani nikikupa paper za ud miaka ya nyuma matiple choice utashuhudia nnayokwambia.pia zinapunguza kutumia mda mwingi kusahiisha,alafu ni kwaajili ya test tu siyo ue
 
Multiple choice majibu yote yanafanana, thinking capacity yake apo kupata jibu sahihi c mchezo.....
 
Hakika kama kuna mtu anabeza MCQ, basi hajakutana na mtunzi mzuri wa hiyo kitu!!!
 
MCQs hayana tatizo kabisa. Nadhani ingekuwa ni njia rahisi basi watu wengi wangefaulu mitihani kama ya CISA; CIA; SAT na mingine mingi ambayo ina mfumo huo. Nadhani mtoa mada hajawahi kukutana na aptitude tests, anadhani MCQs zile za primary schools.
 
Multiple choice inapima usahihi wa uelewa wa mtu.

Kwa hiyo si jambo la ajabu kabisa maswali ya mitihani ya chuo kikuu kuwa ya multiple choice.

Kuna nchi ambazo vyuo vyake vikuu maswali mengi ya mitihani huwa ni ya mtindo huo.

USA mfumo wao wa elimu ni multiple choice na kama hujasoma na kuelewa huwezi faulu!

Multiple choice ni ngumu kuliko kujieleza!
 
Back
Top Bottom