Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

MCQ inanoga pale panapokuwa na negative marking ukikosea. Ukiotea ukakosa -1, ukiacha bila kujibu 0. Lazima ukune kichwa.
 
Mutiple Choice katika level ya University ni level ya chini wa kumtest mwanafunzi jamani je lecturers wanashindwa kutunga maswali ya Essay etc na si MCQ?

Acha pumba basi. Em guess majibu kwenye multiple choice alafu subiria matokeo.
Kama mdau alivyosema, ni kweli kbs essay na short notes zinawabeba waliokariri. Unaandika andika tu, hitting around the bush na haukosi hata 2 marks. Ila multiple choice ni u either right or wrong basi.
Binafsi chuo nilikua sipendi kbs multiple choice.
 
sasa unataka nikubaliane na wewe kinguvu bila facts

next time ukipinga hoja una weka hoja mbadala

MCQ ni sahihi kwa elimu ya chuo

una sema eti watu wana guess reallly??

Out of 5 choices kwa kila swali out of 50 uta guess ngap??

Unatisha! Mleta mada kakurupuka. Im sure huo mtihani hata sio wake km mwnfnz. Akawaulize walioufanya
 
Tambua!kanun;taratibu na sheria ndizo zinaziongoza utendaji hivyo lengo lake ni umakini sehem za kazi!ndilo lengo kuu LA objectives!
 
sina hata hamu na maswali ya namna hii. ni magumu bora hata ya kujielezea.
 
USA mfumo wao wa elimu ni multiple choice na kama hujasoma na kuelewa huwezi faulu!

Multiple choice ni ngumu kuliko kujieleza!

sana jamani, mie sijawahi kufaulu mtihani wenye multiple choice
 
Tena ukikuta gueswork iko highly discouraged,kila uki guess ukakosea unapata penalty!kama kila jibu sahihi ni alama 1 basi ulilokosea unapata minus 0.5 usipojibu ni 0.Sasa ukijibu yote halafu mengine ukakosea hata zile ulizopata zinakuwa deducted hapo ndipo muziki ulipo!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

Ooh basi karibu watu wote waliosoma vyuo vikuu Marekani elimu yao ni ya magumashi maana format ya mitihani huko huwa ni ya multiple choice.
 

mmmhhh! yaan wote waliomaliza viwango vya elimu kwa mitihan ya mc hawaelewi kitu! upo sahihi kabisa mkuu!
 
ni sawa na kutengeneza mshikaki wenye MFUPA
 
Kwel wote ni vilaza . Multiple choice ukitungiwa hapa udsm ni bora essay kuliko hivyo wewe! Kati ya 15 unapata mbili au tano juzi kat kuna paper la history kuna had 0 . Wewe nahisi haujui

We kweli unamatatizo na hiko unachosoma. Kwanza ukishindwa hayo maswali ya kuchagua hata kwenye ya kujieleza utakua unaongeza uongo. Elimu ya chuo haipimi watu kujua kuandika hiyo ni kaz ya shule ya msingi chuo unapimwa uelewa
 
Wewe labda chuo kingine udsm haupat yote ukipata yote .mie najiuzulu kuwa jamii fr. Fact ni kwamba inategemea na type ya lecture na chuo gan ? Sio kama maswal ya sekondar chuo majibu yote ya kwel lakn la kweli zaid linakuwa lip

Wahadhili wanaongea ukweli wanafunzi wa siki hiz wakiboya sana uweze wao kuelewa ni mdogo sana sasa hapo unadhani utafauru vipi kama unachojifunza hukielewi lazima ukose? Utaweza kweli kusoma coz za kimataifa?
 

kwani waliopnga ndo wanaotetea?
 
mitihani mingi vyuo vya udaktari ni mcq.ukikosa unapata -0.25 ukpata correct unapata 1 maswali yanakuwa mengi
 
Mimi nakumbuka tukiwa first year tuliwahi pewa pepa la multiple choice tupu yan watu walipiga zero kama maigizo vile..
 
Ooh basi karibu watu wote waliosoma vyuo vikuu Marekani elimu yao ni ya magumashi maana format ya mitihani huko huwa ni ya multiple choice.

mkuu uwa nafurahi tunapojilinganisha na marekani, huwa nafurahi sana kwa kuwa mazingira, hali ya technolojia, uchumi na elimu na walimu viko sawa kabisa, inawezekana kuna kitu uwa tunalingana!
 
Mimi nakumbuka tukiwa first year tuliwahi pewa pepa la multiple choice tupu yan watu walipiga zero kama maigizo vile..

kwa maana iyo,sio woote waliopiga zero ni mburula , apo inadhiirisha kuwa kweli MCQ ni za kitoto, hazipimi uelewa zinapima kukariri na kipaji cha kubuni...kuna siku profesa mmoja pale udsm alituchekesha sana, anasema ukitaka professor afeli mtihani umpe majibu matatu ili achague moja, ataishia kutoa strengh na weakness ya kila jibu na ivo kuishia kutochagua jibu kama alivoambiwa,...apa nakumbuka mfano professor akiambiwa kipi kilianza kuku au yai, apa yeye atataka afanye mpaka risechi wakati mtoto wa darasa la sita ataweka jibu moja kati ya au kuku au yai.
 
MCQ inanoga pale panapokuwa na negative marking ukikosea. Ukiotea ukakosa -1, ukiacha bila kujibu 0. Lazima ukune kichwa.

hii kitu sio nzuri nakumbuka wakati wetu tulipewa pepa nzima ina iyo kitu, kuna mwenzetu alipata -89% na kwetu ukifeli pepa moja wakati final ni 60% iyo negative 87 unakuja kuilipa kwenye test 2 na final...mpaka sasa uyo msukuma ni fundi magari kwa kufeli CORE subject...na alikuwa kichwa. wakuu hizi guess work sio nzuri sana, japo ukiipatia inanoga kweli kweli!
 
Multiple choice ni objective questions huwez zitoa hata siku moja. Waulizeni walimu.walioiva shuleni...maana ili pia u sample mtihani kwa topic zote ni lazma utoe objective qn ukiweka mi essay utaishia kusample single topic wakati umefundisha topic kibao.

Ni suala la uelewa ila multiple choice ni ngumu kuliko essay qns
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…