Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhMarine Vessel
Au
motor vehicle
Au
music video
Marine maana yake ni maji/bahari vessel ni kifaa/chomboo cha kusafiria kinachoelea juu ya maji.
Maana yake nini mkuu? Au ndiyo "ajali ajali"
Marine maana yake ni maji/bahari vessel ni kifaa/chomboo cha kusafiria kinachoelea juu ya maji.
Mfano Summarine/Nyambizi haiwezi kuitwa vessel sababu inapita chini ya maji/inazama wakati inasafiri.
Asante sana kamandaChombo cha majini
Asante sana kamanda..
Motor vessel zaman uhengani ilikuwa ss yaan ‘Steam ShipJamiiforums ni kisima cha maarifa na elimu lakini watu wachache wapenda mizaha wanaharibu hiyo maana nzima!!!...
Asante kwa kuongeza elimu!!!..Motor vessel zaman uhengani ilikuwa ss yaan ‘Steam Ship