Kuuliza si ujinga: wale wahudumu bungeni wana Elimu Kiasi gani?

Kuuliza si ujinga: wale wahudumu bungeni wana Elimu Kiasi gani?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari za humu Wadau!?

Kama mada inavyosema ni kuwa wale wahudumu bungeni wanapenda kuvaa sana vikoti mara leo nyekundu, mara siku nyingine bluu naomba kuuliza wana elimu kiasi gani? Form four au ni mpaka chuo,

Na je ni kusomea kuwa mhudumu wa bunge au ni connection zako, naomba kujua utaratibu jinsi wanavyopatikana.

Uzi tayari🤪🤪🚶
 
Back
Top Bottom