Kuuliza si ujinga!

Kuuliza si ujinga!

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
44
Jamani nauliza, hili Jukwaa ni kwa ajili ya nini?
 
Hii ni kwaajili ya kutafuta mpenzi/wapenzi
 
Hii ni kwaajili ya kutafuta mpenzi/wapenzi

Mie nilidhani ni kwa ajili ya kutafuta watu waliopotea. Asante kwa kunifumbua macho. Vipi MadameX wewe unaye mpenzi?
 
ulipotelea wapi figganigga?

Mambo vipi dada yangu hujambo? Yapi yalikusibu hadi ukabadilisha ID? kidogo unichanganye, nilikua najiuliza nani huyu? vipi ule mpango wetu ulifanikiwa? au tuanze upya? Sema kile kigezo kimoja kiliniangusha. iliniuma sana. mimi nlikuwa busy kidogo. Pamoja sana mkuu. Mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom