Kuuliza sio ujinga,hizi kokoto nyeusi na nyeupe?

Kuuliza sio ujinga,hizi kokoto nyeusi na nyeupe?

Suip

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,375
Reaction score
855
Naomba kuuliza wadau wa ujenzI kuna hii kitu,nadhani ni kokoto iliyozungushwa kuzunguka msingi wa nyumba,naona ni kama kokoto nyeusi na nyeupe au ni kokoto imepuliziwa rangi nyeupe na nyeusi?
Nawasilisha kwa anayejua hii kitu.
 

Attachments

  • IMG-20250402-WA0002.jpg
    IMG-20250402-WA0002.jpg
    116.3 KB · Views: 41
Back
Top Bottom