Suip JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,375 Reaction score 855 Apr 2, 2025 #1 Naomba kuuliza wadau wa ujenzI kuna hii kitu,nadhani ni kokoto iliyozungushwa kuzunguka msingi wa nyumba,naona ni kama kokoto nyeusi na nyeupe au ni kokoto imepuliziwa rangi nyeupe na nyeusi? Nawasilisha kwa anayejua hii kitu. Attachments IMG-20250402-WA0002.jpg 116.3 KB · Views: 41
Naomba kuuliza wadau wa ujenzI kuna hii kitu,nadhani ni kokoto iliyozungushwa kuzunguka msingi wa nyumba,naona ni kama kokoto nyeusi na nyeupe au ni kokoto imepuliziwa rangi nyeupe na nyeusi? Nawasilisha kwa anayejua hii kitu.
Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 5,316 Reaction score 7,215 Apr 2, 2025 #2 Ni madini.
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,723 Reaction score 19,715 Apr 2, 2025 #3 Atakae reply huu Uzi ni mjinga Kama alivyo mleta mada
Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 5,316 Reaction score 7,215 Apr 2, 2025 #4 holoholo said: Atakae reply huu Uzi ni mjinga Kama alivyo mleta mada Click to expand... Ujinga unaanzia uki reply baada yangu ama baada Yako!?
holoholo said: Atakae reply huu Uzi ni mjinga Kama alivyo mleta mada Click to expand... Ujinga unaanzia uki reply baada yangu ama baada Yako!?
Suip JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,375 Reaction score 855 Apr 2, 2025 Thread starter #5 holoholo said: Atakae reply huu Uzi ni mjinga Kama alivyo mleta mada Click to expand... Nadhani kuuliza sio ujinga ila wewe kama unajua usiwazuie wenzako,sio wote tunakaa maeneo ya ujenzi,tunajifunza.
holoholo said: Atakae reply huu Uzi ni mjinga Kama alivyo mleta mada Click to expand... Nadhani kuuliza sio ujinga ila wewe kama unajua usiwazuie wenzako,sio wote tunakaa maeneo ya ujenzi,tunajifunza.
Ubaya Ubwela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 3,014 Reaction score 7,343 Apr 2, 2025 #7 Powder said: Ujinga unaanzia uki reply baada yangu ama baada Yako!? Click to expand... Huyo anawaza kuzagamuliwa muda wote unadhani atakua na Akili
Powder said: Ujinga unaanzia uki reply baada yangu ama baada Yako!? Click to expand... Huyo anawaza kuzagamuliwa muda wote unadhani atakua na Akili