Kuuliza sio ujinga, kwa sasa kuna mgao wa Umeme?

Kuuliza sio ujinga, kwa sasa kuna mgao wa Umeme?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Kila kukicha umeme unakatika siku nzima tena wilaya nzima au mkoa mzima.

Ninauliza Tanesco, Tanzania tumeanza mgao wa umeme?

Nimeuliza ili tuanze kununua generator
 
Mkubwa, ila wa timing...differentiated. kila Kata na muda wake ili kutu ficha.
 
Back
Top Bottom