peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Oct 21, 2022 #1 Kila kukicha umeme unakatika siku nzima tena wilaya nzima au mkoa mzima. Ninauliza Tanesco, Tanzania tumeanza mgao wa umeme? Nimeuliza ili tuanze kununua generator
Kila kukicha umeme unakatika siku nzima tena wilaya nzima au mkoa mzima. Ninauliza Tanesco, Tanzania tumeanza mgao wa umeme? Nimeuliza ili tuanze kununua generator
WAZO2010 JF-Expert Member Joined Feb 19, 2021 Posts 1,615 Reaction score 3,784 Oct 21, 2022 #2 Mkubwa, ila wa timing...differentiated. kila Kata na muda wake ili kutu ficha.