Kuuliza sio ujinga.

Kuuliza sio ujinga.

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,571
Reaction score
1,328
Naomba kuuliza kwa wale tuliochaguliwa ud tunaweza kuchukua joining ss ivi au adi iyo 12oct.
 
chuo sio sec school,joining utapewa siku uliyoambiwa uripoti.........................Good luck
 
Usini-underestimate mzeiya ujui safari yangu ya elimu mi sio mgeni na elimu ya chuo kaka,tuheshimiane plz.
 
unaweza chukua now..pia kwenye web yao wamesha iweka waweza pakua...achana na huyo kiaz hapo juu...
 
Poa, thanks achana na uyo wa stela Maris.
 
Back
Top Bottom