ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huo mguu sio wa pwani.mguu unaonekana kama umetumika sana kwenye mashamba ya tumbaku na pareto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huo mguu sio wa pwani.mguu unaonekana kama umetumika sana kwenye mashamba ya tumbaku na pareto
Tafakuru pana hiiiUkiona kwenye mguu mmoja wa kushoto, basi ujue unaruhusiwa kupangisha banda la "uani". Ukikuta miguu yote basi ujue na nyumba kubwa pia unaruhusiwa kupaki gari
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huo mguu sio wa pwani.mguu unaonekana kama umetumika sana kwenye mashamba ya tumbaku na pareto
great.................Ukiona kwenye mguu mmoja wa kushoto, basi ujue unaruhusiwa kupangisha banda la "uani". Ukikuta miguu yote basi ujue na nyumba kubwa pia unaruhusiwa kupaki gari
Una utani na waluguru wewe! Picha imepigwa KWIMBA huko!Hii picha kama haikupigwa sehemu hizi ni bahati.
Kihonda
Tubuyu
Nanenane
Tungi