Kuuliza siyo ujinga, hii kitu huwa naiona sana huku Pwani

Kwa wengine ni Urembo/mapambo,.Kwa wengine ni km masuala ya kijadi na tamaduni zao tu,na Kuna issues pia zinazoingiliana na ngono jpo sina uthibitisho were...
 
Huo Ni Urembo tuu Mbona wamasai Wanavaa Sana Hivi Tena Wake Kwa Waume Mie Nadhani ni Urembo Tuu Ila Waswahili Ndo Tumejifanya Kujiongeza Kutoa Maana Ambayo sio
 
Ukiona kwenye mguu mmoja wa kushoto, basi ujue unaruhusiwa kupangisha banda la "uani". Ukikuta miguu yote basi ujue na nyumba kubwa pia unaruhusiwa kupaki gari
great.................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…