R rwaigjr New Member Joined May 5, 2017 Posts 4 Reaction score 0 Aug 20, 2017 #1 Samahani wana jf kwa anayefahamu ilipo rabininsia memorial hospital ilipo anielekeze tafadhar kutokea mawasiliano Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani wana jf kwa anayefahamu ilipo rabininsia memorial hospital ilipo anielekeze tafadhar kutokea mawasiliano Sent using Jamii Forums mobile app
Miss Zomboko JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 4,599 Reaction score 9,532 Aug 20, 2017 #2 rwaigjr said: Samahani wana jf kwa anayefahamu ilipo rabininsia memorial hospital ilipo anielekeze tafadhar kutokea mawasiliano Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Panda gari za kwenda bunju shuka kituo kinaitwa namanga utaiona hospitali maana ni ghorofa kubwa liko pembezoni mwa barabara tuu
rwaigjr said: Samahani wana jf kwa anayefahamu ilipo rabininsia memorial hospital ilipo anielekeze tafadhar kutokea mawasiliano Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Panda gari za kwenda bunju shuka kituo kinaitwa namanga utaiona hospitali maana ni ghorofa kubwa liko pembezoni mwa barabara tuu