Kuuma masikio kwenye ndege

hata mimi huwa na tatizo hilo hasa tunapokaribia dar es salaam. njia ninayotumia kupunguza maumivu ni hiyo ya kuziba vitundu vya pua kwa vidole na kuachama mdomo wazi ili uvute hewa kwa kutumia mdomo kama mara mbili au tau then unafunguka mdomo huku ukiwa bado umeziba pua zako kama kwa sekunde arobaini au dakika moja inategemea na pumzi zako kwenye zoezi hilo utaona jinsi upepo (pressure) inatafuta njia ya kutokea kwenye masikio na masikio yakizibuka then unaendele vizuri na safari yako ama utatua bila maumivu makali masikioni.
 
KWani hiyo ndege hawatoi ear plugs? weka hata pamba kama unazo especially wakati ndege inapaa au inashuka hapa lazima masikio utaona yameziba kabisa, weka pamba kama hawatowi ear plugs .. kuna vijiplastic fulani hivi huwa wanatowa sijui unapanda ndege gani , pole tembea na pamba tu chomeka and enjoy your flight ... pole sana
 
Wadau naomba msaada mara nyingi nasafiri na ndege na mara zote masikio huuma sana, inasababishwa na nini na njia gani naweza kuzuia hali hii, mara zote hizo abiria wengine huwa wako normal.

Kuongezeka au kupungua kwa attitude husababisha mabadiliko ya pressure.
Pendelea kutafuna chewing gum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…