Geofrey_GAMS
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 496
- 229
Hivi kati ya Wanaume na Wanawake nani wanaongoza kwa kuumizwa kwenye mapenzi ,kupigwa chini (Heart broken) ?
wanaume ndo wanaoumia sana tena wanaumizna wenyewe kwa wenyewe kwa kuchukuliana mademu zao