kuumwa kichwa mara kwa mara

kuumwa kichwa mara kwa mara

LOOOK

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,389
Reaction score
674
naumwa kichwa mara kwa mara tatizo nini??
 
mkuu kama ni mara kwa mara,je ushawahi kwenda hosp.na kupima?
Kama bado fanya ivo mana si moja ya sehemu hatari sana ikiwa na hitlafu
nashukuru mkuu!!ingawa nilisha pima damu na mambo mengine ila nahisi labda sikumpata mtaalam mzuri
 
nashukuru mkuu!!ingawa nilisha pima damu na mambo mengine ila nahisi labda sikumpata mtaalam mzuri
Yah try hosp.nyingine watakuambiaje maana ata madaktari siku izi magumash sana
afu jaribu kujipa dozi ya maji,yan kinywa maji kama dawa,yan asubh lita1,mchana lita1 na jion lita1 kwa kipindi cha mwezi mmoja,afu uone ka kunamabadiliko yoyote
 
Vizuri nenda kafanye vipimo. Yawezekana macho. High pressure. Low pressure. Migraine. Stress. Water intake ndogo. Nk. So u better go to see Dr.
 
1.Matatizo ya Macho
2.Haujapata choo kama kikawaida
3.Haunywi maji ya kutosha
4.Haujapumzika vya kutosha i.e usingz,uchovu
5.Dalili ya ugonjwa eg malaria,pressure etc
 
Back
Top Bottom