Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kama ni mara kwa mara,je ushawahi kwenda hosp.na kupima?naumwa kichwa mara kwa mara tatizo nini??
naumwa kichwa mara kwa mara tatizo nini??
Yah try hosp.nyingine watakuambiaje maana ata madaktari siku izi magumash sananashukuru mkuu!!ingawa nilisha pima damu na mambo mengine ila nahisi labda sikumpata mtaalam mzuri
sio kwa ajili ya hizo id kweli?embu badili huone kama hali itakuwa palepale
Naomba ufafanue hicho kichwa kinaumaje?kikiuma hupendi kukaa sehemu yenye mwanga?naumwa kichwa mara kwa mara tatizo nini??