hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,916 Apr 1, 2016 #1 Siku hizi hiyo imekuwa ni kawaida sana mtu kuumwa kichwa siku moja na kufa wengi huwa wanahisi ni ushrikina. Lakini tukija kitaalamu chanzo chake nini. Na ni vitu gani uviepuke ili usipatwe na tatizo kama hilo.
Siku hizi hiyo imekuwa ni kawaida sana mtu kuumwa kichwa siku moja na kufa wengi huwa wanahisi ni ushrikina. Lakini tukija kitaalamu chanzo chake nini. Na ni vitu gani uviepuke ili usipatwe na tatizo kama hilo.
Lung'wecha JF-Expert Member Joined Aug 20, 2014 Posts 927 Reaction score 574 Apr 1, 2016 #2 umeuliza swali au utangulizi afu kuna maelezo unaleta??