Kuumwa kichwa siku moja nakufa.

Kuumwa kichwa siku moja nakufa.

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,916
Siku hizi hiyo imekuwa ni kawaida sana mtu kuumwa kichwa siku moja na kufa wengi huwa wanahisi ni ushrikina. Lakini tukija kitaalamu chanzo chake nini. Na ni vitu gani uviepuke ili usipatwe na tatizo kama hilo.
 
umeuliza swali au utangulizi afu kuna maelezo unaleta??
 
Back
Top Bottom