my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Hyo ni hali ya kawaida jitahd kunywa maji ya moto kutwa mara mbili wakat wa period acha kutumia vidonge ni hatar kwa afya kwan vinaenda kuziba mirija ya uzaz pole sana
Nikiwa katika period miguu na kiuno kinauma sana. Hospital wamenipa dawa ambazo nameza kila mwezi nikikarbia kuingia tena.
Nani anajua dawa ya kuponyesha kabisa?
jitahd kunywa maji ya moto yaliyochonganywa na Amdala sini kutwa mara mbili wakat wa periodHyo ni hali ya kawaida jitahd kunywa maji ya moto kutwa mara mbili wakat wa period acha kutumia vidonge ni hatar kwa afya kwan vinaenda kuziba mirija ya uzaz pole sana