Kuumwa kiuno na miguu wakati wa hedhi

Kuumwa kiuno na miguu wakati wa hedhi

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Nikiwa katika period miguu na kiuno kinauma sana. Hospital wamenipa dawa ambazo nameza kila mwezi nikikarbia kuingia tena.

Nani anajua dawa ya kuponyesha kabisa?
 
Fija pcmc clinic karibu na Muhimbili jirani CN supermakert
 
Hyo ni hali ya kawaida jitahd kunywa maji ya moto kutwa mara mbili wakat wa period acha kutumia vidonge ni hatar kwa afya kwan vinaenda kuziba mirija ya uzaz pole sana
 
Jaman pole sana kama dawa za hospital zimeshindikana njoo utumie product zetu za mimea na matunda tatizo lako linaisha kabisa. Karbu 0683109166
 
Hyo ni hali ya kawaida jitahd kunywa maji ya moto kutwa mara mbili wakat wa period acha kutumia vidonge ni hatar kwa afya kwan vinaenda kuziba mirija ya uzaz pole sana

Vidonge vya kunywa haviendi popote bila kuyeyeyuka tumboni, vitazibaje mirija?
 
Usitafte dawa, ni kitu cha kawaida, ila jitahid kipindi hicho utumie chai ya rangi yenye TANGAWIZI ya kutosha. Si zaidi ya hapo dear
 
Punguza mechi za mchangani hasa unapokaribia siku zako.
 
Hyo ni hali ya kawaida jitahd kunywa maji ya moto kutwa mara mbili wakat wa period acha kutumia vidonge ni hatar kwa afya kwan vinaenda kuziba mirija ya uzaz pole sana
jitahd kunywa maji ya moto yaliyochonganywa na Amdala sini kutwa mara mbili wakat wa period
 
Back
Top Bottom