Kuumwa kwa unyayo wa mguu nini tatizo

Kuumwa kwa unyayo wa mguu nini tatizo

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habarini wadau wenzangu


Mm nina tatizo la kuumwa kwa unyayo na kisigino sana yaani unauma nashindwa hata kutembea vyema, nimetumia mafuta ya karafuu lakini tatzo liko palepale yaani inauma kuanzia vidoleni mpaka mwishowa unyayo


Mm sio mtu wa kutumia vyakula vyenye mafuta mengi natumia kawaida na na kula mbogamboga kwa sana sasa sijui tatizo ni nini naombeni msaaida wa dawa gani Nitumie maana unauma sana.
 
HABARINI WADAU WENZANGU

MM NINA TATIZO LA KUUMWA KWA UNYAYO NA KISIGINO SANA YAANI UNAUMA NASHINDWA HATA KUTEMBEA VYEMA, NIMETUMIA MAFUTA YA .KARAFUU LAKINI TATZO LIKO .PALEPALE YAANI INAU.MA K.UAN.ZIA VIDOLENI MPAKA MWISHOWA UNYAYO

MM SIO MTU WA KUTUMIA VYAKULA VYENYE MAFUTA MENGI NATUMIA KAWAIDA NA NA KULA MBOGAMBOGA KWA .SANA SAS.A SIJUI TATI.ZO NI .NINI NAOMBENI MSAAIDA WA DAWA GANI. NIT.UMIE MAANA UNAUMA SANA
Samahani, Pole nenda kapima Uric acid !! (halafu punguza kula nyama nyekundu na maharage)
 
Back
Top Bottom