Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
korino hata mimi nina tatizo hilo hasa pale mtu anapo sugua kitu au kusogeza au kuburuza huwa naumia sana na sehemu zenye kelele za hivyo huwa siwezi kaa..!Habari zenu ndugu zangu! Nna tatizo la kuumwa meno yoote kinywa kizima hasa ya hapa mbele! Si maumivu makali Ila yanauma! Mpaka kichwa huniuma! Kichwa nakuwa ckielew elew kabisaa! Af ikutokea kuna msuguano Kati ya labda mtu amesogeza kitu MF.sufuria kwenye tiles mamaaa ndo yanazidi! Hii hali inanikosesha raha jaman nisaidieni tafadhalini
Habari zenu ndugu zangu! Nna tatizo la kuumwa meno yoote kinywa kizima hasa ya hapa mbele! Si maumivu makali Ila yanauma! Mpaka kichwa huniuma! Kichwa nakuwa ckielew elew kabisaa! Af ikutokea kuna msuguano Kati ya labda mtu amesogeza kitu MF.sufuria kwenye tiles mamaaa ndo yanazidi! Hii hali inanikosesha raha jaman nisaidieni tafadhalini