Kuumwa meno yote kinywani

korino hata mimi nina tatizo hilo hasa pale mtu anapo sugua kitu au kusogeza au kuburuza huwa naumia sana na sehemu zenye kelele za hivyo huwa siwezi kaa..!
 
Last edited by a moderator:

Pole sana. Kuna mfanyakazi mwenzangu alipatwa na hilo tatizo kipindi hicho tupo uko mkoa mmoja upo mpakani sasa akaenda hospital ya kule akaambiwa ang'olewe meno yote jamaa alichanganyikiwa. Mimi nikamwambia afanye utaratibu aje muhimbili, kweli alipofika hapa muhimbili alifanyiwa vipimo ikaonekana kuna jino moja la mwisho limegusa mishipa ya meno mengine hivyo ndio inasababisha hiyo hali. Walichokifanya walimfanyia upasuaji kwenye lile jino akapona kabisa mpaka leo yupo fit kabisa. Yeye pia alikua kama hivyo unavyosema wewe. Nakushauri wahi hospital kama upo dar nenda muhimbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…