Kuumwa na tumbo chini ya kitovu baada ya kujifungua.

mzellu

Senior Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
162
Reaction score
19
Za week end ndugu zangu, Nitatizo lililomtokea rafiki yangu wa kike jana mbaka hivi sasa kwa kupata na maumivu makari chini ya kitovu baada ya week kama moja tangu kujifungua.Msaada anijuze kwa anaejuwa ni tatizo gani hilo?
 
Mambo ya mwili ukitegemea kujibiwa kwenye simu bila kwenda hosp utaingizwa chaka kaka. Inahitaji kuona kishika kunusa na vipimo kwa hiyo ningemshauri amuone daktari hosp ya karibu. Ila wakati mwingine inakua yanatokana na kizazi kuwa kinarudi katika hali yake ya kawaida which is healthy.
 

Ameshakwenda ila me kama me nilitaka kujuwa zaidi juu ya ili ndugu
 
Wasukuma tunaita 'ishimi', tumbo la chini ambao ndio hasa mfuko wa uzazi likiuma kwa mama aliyejifungua mimba ya pili na kuendele ni la kawaida ambapo 'li- mfuko' (mji wa uzazi) alimokuwa mtoto sasa linaanza 'kusinyaa' na kurudi katika hali yake ya kawaida! Hata hivyo hali hii haipaswi kujitokeza hadi wiki moja, kwa huyo anayesikia maumivu hadi kwenye wiki moja ni bora aende hosptali kwani sio kawaida!
 
Hallo Paw, hebu peleka hii thread JF Doctor tafadhali.
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru hii nimeikubali kutokana uchunguzi wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…