Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya mwili ukitegemea kujibiwa kwenye simu bila kwenda hosp utaingizwa chaka kaka. Inahitaji kuona kishika kunusa na vipimo kwa hiyo ningemshauri amuone daktari hosp ya karibu. Ila wakati mwingine inakua yanatokana na kizazi kuwa kinarudi katika hali yake ya kawaida which is healthy.
Wasukuma tunaita 'ishimi', tumbo la chini ambao ndio hasa mfuko wa uzazi likiuma kwa mama aliyejifungua mimba ya pili na kuendele ni la kawaida ambapo 'li- mfuko' (mji wa uzazi) alimokuwa mtoto sasa linaanza 'kusinyaa' na kurudi katika hali yake ya kawaida! Hata hivyo hali hii haipaswi kujitokeza hadi wiki moja, kwa huyo anayesikia maumivu hadi kwenye wiki moja ni bora aende hosptali kwani sio kawaida!