Mkuu bora ungeweka wazi hapa na kwa faida ya wengine utakua umeisaidia jamii maana wengine ni wahanga.Huo ugonjwa mm nilishawahi kuumwa miaka mingi sana, wazazi wangu, ndugu zangu walihangaika miaka tele lakini hawakufanikiwa ikawa mpka kila ninachotaka kufanya eg kazi haswa kwenye jua walikuwa wananikataza sana, mm nilikuwa nameza dawa za kutuliza maumivu kila siku mwaka mzima, hizi Hospital unazozijuwa wewe nchii nimekwenda lakini cjapata ufumbuz wowte ule, yaaan unakwenda Hospital mpka doctor anakujua, had anafikia hatua ya kukushauri nenda Hospital nyingine labda watakusaidia, lakin ukienda kule wapi na kwa bahat nzuri nilikuwa natumia Bima.
Unajua nilijua kupona vipi had leo kubaki historia, kuandika nimechoka ila njooo humu nikupe ushauri bure kabisa na utaona matokeo yake soon715378899
Shukran Mkuu ,Mpeleke hospital afanyiwe vipimo, Hedex sio nzuri kwa umri wake kwa kuwa ina caffeine ambayo ni habit forming, akiikosa kichwa kitaendelea kuuma! Atumie paracetamol tu! Alafu aangalie mwendo wa Mwezi, kuna watu huumwa kichwa wakati wa full moon! Mpe pole na asijali sana atapona tu!
Hebu ipate kupitia google ama i search kupitia JF appMkuu
Mkuu hii link naona haiko sawa,kama hutajali please isahihishe.
Mshauri akapime macho haraka atapewa dawa au miwani, kama ni mwanafunzi asipende kutumia karatasi nyeupe sana apunguze muda wa kutumia simu hasa smartphone au computer na kutazama TV kama preliminary measures tu ila nina uhakika ni macho vinginevyo labda awe na tatizo la damu kuzid au pungufu.Wakuu natumai wazima,
Nina ndugu yangu wa kike 17 years, tatizo kubwa alionalo ni kuumwa na kichwa,
Kichwa chake kama kinakua kinakufa gani upande mmoja,kinamuuma sana.
Dawa aliozoea kutumia ili kutuliza maumivu ni hedex na imepungua utendaji kazi nahisi kwa kutumia kila siku.
Naombeni ushauri wenu tatizo linaweza kuwa nini na atumie dawa gani ili apate nafuu na kupona kabisa.
Shukran.
Anavaa miwani mkuu.Mshauri akapime macho haraka atapewa dawa au miwani, kama ni mwanafunzi asipende kutumia karatasi nyeupe sana apunguze muda wa kutumia simu hasa smartphone au computer na kutazama TV kama preliminary measures tu ila nina uhakika ni macho vinginevyo labda awe na tatizo la damu kuzid au pungufu.
Ok, vidole vime pumzika, sasa nakumbuka Hospital ya mwisho kwenda ni KAIRUKI pale mikocheni, nakumbuka siku ya ijumaaa, wakanipima hawajagundua chochote kile, ila wakanipa dawa flani nikameza, aiseee sijalala ikabid jumamos nirud tena pale kairuki, alichonijibu kwamba, cc tumeshindwa kukusaidia, jaribu kwingine hiyo nakumbuka2012.Mkuu bora ungeweka wazi hapa na kwa faida ya wengine utakua umeisaidia jamii maana wengine ni wahanga.
Mkuu bora ungeweka wazi hapa na kwa faida ya wengine utakua umeisaidia jamii maana wengine ni wahanga.
Wataalamu watamsaidia.ila kama kina mida mrefu yaweza kuwa kipanda USO..Vasograin ndo dawa ya msingi.ila aende hospital kwanzaWakuu natumai wazima,
Nina ndugu yangu wa kike 17 years, tatizo kubwa alionalo ni kuumwa na kichwa,
Kichwa chake kama kinakua kinakufa ganzi upande mmoja,kinamuuma sana.
Dawa aliozoea kutumia ili kutuliza maumivu ni hedex na imepungua utendaji kazi nahisi kwa kutumia kila siku.
Naombeni ushauri wenu tatizo linaweza kuwa nini na atumie dawa gani ili apate nafuu na kupona kabisa.
Shukran.
yeah hata asubuhi pia atumie tuNashkuru mkuu,
Although link yako pia imekataa kufunguka ila nmeitafuta kupitia Google,
So atumie punje moja kabla ya kulala?
Samahani siiongelei period, naongelea Moon/Mwezi....atapona tu!Shukran Mkuu ,
yeye anaumwa na kichwa almost kila siku,anavaa mawani pia kwa akili ya kichwa,Mimi sina utaalamu na udaktari lakini nahisi halihusiani moja kwa moja na period.