Mkuu bora ungeweka wazi hapa na kwa faida ya wengine utakua umeisaidia jamii maana wengine ni wahanga.
Ok, vidole vime pumzika, sasa nakumbuka Hospital ya mwisho kwenda ni KAIRUKI pale mikocheni, nakumbuka siku ya ijumaaa, wakanipima hawajagundua chochote kile, ila wakanipa dawa flani nikameza, aiseee sijalala ikabid jumamos nirud tena pale kairuki, alichonijibu kwamba, cc tumeshindwa kukusaidia, jaribu kwingine hiyo nakumbuka2012.
Hapo navaaa kila aina ya miwani, aiseee ngoma bado, yaaaan mm mwaka mzima nameza daw tu.
Sasa nakumbuka siku hiyo ya jumamosi nikarud home, nikazima taaa zote nimekaaa kwenye meza nikaanza kumuomba MWENYEZ MUNGU kwa kusema maneno haya"""EWE MWENYEZ MUNGU, MUUMBA MBINGU NA ARDHI, NAJUA WEWE NDIE MWENYE UWEZO WA KUTATUA KILA KITU, NAOMBA NIONDELEEE HAYA MATESO YA MUDA MREFU, NIMECHOKA MUNGU WANGU, KAMA KUNA KITU NAKULA KINANIDHURU KWAKWELI KWA MATESO HAYA YA KICHWA SITAKISOGELEA KABISA""".
Basi nimekaaa gafla kile kichwa kikapona kabisa, sasa kuna siku nikawa nakula ugali na dagaaa wale wa mwanza, nilivyomaliza kama nusu saaa kichwa kikaaanza tena kuuma, ndipo nilikuja gundua kwamba nina ALEJI YA DAGAA".
Nikaenda Hospital muda huohuo nikapew dawa za ALEJI, kama siku nne hivi nikapona, nikaona kama dawa nimegundua nikajaribu tena kula dagaaa, kama nusu saaa kichwa kimeanza kuuma.
Hapo ndipo nilipogundua kwamba mm kuumwa tatizo ni aleji ya dagaaaa, tokea 2012 mpka leo hii kichwa kuuumwa labda malaria lakini vinginevyo napiga kazi tyuuuu.
NB:aanze kufuatilia kwa kile anachokula, lazima atagundua tyuuuu, yaaan akifanya zoez kwa umakini lazima atagundua kinachomsumbua.
MPE POLE SNA, KWAN LEO HATA HOME HAWAAMINI KMA LEO
Mkuu bora ungeweka wazi hapa na kwa faida ya wengine utakua umeisaidia jamii maana wengine ni wahanga.