Kuunda Mkoa wa Chato ni kupoteza historia ya Wahaya, Mkoa wa Chato hauna maslahi kwa urithi wa utamaduni wa Mtanzania

Hiyo Biharamulo, Ngara na Kakonko mbona wasukuma ndio wengi ?
 
Nakubali. Kwa elimu hakuna kama mhaya nchi hii. Huo ndio ukweli mchungu.
 
Enyi wahaya ni nani aliyewaroga lakini, tuondoleeni ukabila wenu hapa. Kuna mikoa kadhaa haitofautiani sana na Kagera kwa ukubwa wa eneo lakini ili magwa na kuanzishwa mikoa mipya lakini hatukusikia watu kulala mika! Mfano mzuri ni mkoa wa Shinyanga ulimegwa ukapatikana mkoa mpya wa Simiyu, Mwanza ilimegwa kupata Geita, Mbeya ilimegwa tukapaa Songwe halikadhalika Njombe nayo ilipatikana. Kote huko hatukusikia UJINGA kama wenu wa kutafsiri kila kitu kwa mtazamo wa kikabila.
Na ninyi mshukuruni sana Mwingereza mkoa wenu kuuacha Tanganyika mlipaswa muachwe kwa wenzenu wanaoabudu ukabila Rwanda ama Uganda na huko mngeshakipata mnachokitafuta, wangeshawafyeka msingekuwepo hata m1 wa dawa wapuuzi nyie.
 
Ukweli mtupu
 
Ndugu wala usihofu ile Historia yenu Wahaya ya Mitaa ya Maandazi ( Kinondoni ), Arusha ( Ilala ) na Wailes ( Temeke ) ambayo Wanawake wa huko Kwenu wanaidumisha na Sisi Wanaume tunaipenda wala haitopotea.
 
Legacy haipiganiwi kama ipo mida utafanya yote kwa sasa hapana mkoa Chato ni kuharibu rasilimali....kwanza waanze Moro labda Tabora .....miaka 10 waangalie vigezo ikifaa wataweka mkoa Chato kwa sasa hapana
 
Ila Magufuli alikua na roho ya ajabu sana,sishangai moyo wake kuwekewa umeme..."TOO SELFISH" ukifatilia historia ya kuanzishwa kwa wilaya ya Chato ni scenerio ile ile,alitumia ubabe na roho mbaya kulazimisha makao makuu yajengwe kwao.
Sawa tu.
Ila artificial growth huwa haidumu kivile.
Hata Dodoma alikuwa ashaanza kulazimisha mambo!!

Miji hujijenga natural, just like Dar es Salaam kukua kwake kumechukua miaka na miaka.

Wameshapeleka makao makuu ya nchi huko its Ok, waache mambo yaende taratibu mji utakuwa natural. Sio kwa kulazimisha!!
 
Na wewe ni mhaya? hivi mtu unakuwaje na majigambo hivyo ili hali unakula wadudu.....should we expect anything serious kutoka kwa mtu anayewinda na kula wadudu? aka senene....
Mkuu jiheshimu basi.
 
Sijui umesoma historia vizuri wewe hao Wanyarwanda walikuwa wakienda kuomba kazi ya vibarua kwa wahaya na ilikuwa ni aibu Mhaya kuwaoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…