Kuunda Mkoa wa Chato ni kupoteza historia ya Wahaya, Mkoa wa Chato hauna maslahi kwa urithi wa utamaduni wa Mtanzania

Kuunda Mkoa wa Chato ni kupoteza historia ya Wahaya, Mkoa wa Chato hauna maslahi kwa urithi wa utamaduni wa Mtanzania

Unapokuwa na eneo lililojaa wahamiaji wengi sana tena controversial kama warundi na wanyarwanda halafu unataka kulitenga ulipe mamlaka ya kiuwakilishi kitaifa kama mkoa,what does that imply?!
Chato ibaki wilaya ya Geita na sura ya usukuma.It means a lot for national security.
Hiyo Biharamulo, Ngara na Kakonko mbona wasukuma ndio wengi ?
 
Wewe kabila lako tangu uhuru limetoa maprofesa wangapi?

Au nianze hapa kuorodhesha maprofesa wahaya?

Sipendi ukabila lakini ukubali ukatae kabila la kihaya limetoa thinktank wa nchi hii kuliko kabila lako, kwa hilo peke yake kubali gepu tu![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nakubali. Kwa elimu hakuna kama mhaya nchi hii. Huo ndio ukweli mchungu.
 
Enyi wahaya ni nani aliyewaroga lakini, tuondoleeni ukabila wenu hapa. Kuna mikoa kadhaa haitofautiani sana na Kagera kwa ukubwa wa eneo lakini ili magwa na kuanzishwa mikoa mipya lakini hatukusikia watu kulala mika! Mfano mzuri ni mkoa wa Shinyanga ulimegwa ukapatikana mkoa mpya wa Simiyu, Mwanza ilimegwa kupata Geita, Mbeya ilimegwa tukapaa Songwe halikadhalika Njombe nayo ilipatikana. Kote huko hatukusikia UJINGA kama wenu wa kutafsiri kila kitu kwa mtazamo wa kikabila.
Na ninyi mshukuruni sana Mwingereza mkoa wenu kuuacha Tanganyika mlipaswa muachwe kwa wenzenu wanaoabudu ukabila Rwanda ama Uganda na huko mngeshakipata mnachokitafuta, wangeshawafyeka msingekuwepo hata m1 wa dawa wapuuzi nyie.
 
Ukweli mtupu
 
Magufuli alitaka kuunda mkoa nyumbani kwake kwa utashi tu binafsi bila kujali vigezo vyenye mantiki vya kuunda mkoa huo.

Yaani katika muendelezo wake wa "unyumbani" akavunja protokali zote za kimantiki na kivigezo katika kuubda mkoa mpya.

Leo hii mkoa wa Geita ni miongoni mwa mikoa michanga kabisa ambayo haina umri hata wa miaka 20, lakini cha ajabu yanaletwa mapendekezo ya kukata eneo kutoka mkoa huo kwenda kuunda mkoa mwingine—Ili iweje?

Lakini kibaya zaidi, Leo tunakwenda kukata eneo la mkoa ambao by all standards ni mkoa kongwe, wenye historia ndefu, Mkoa wa Kagera, uliobeba historia ya nchi hii kwa utamaduni wake mzuri, historia ya falme zake, lugha yake n. k tunakwenda kumegua eneo katika huo mkoa na kuunda mwingine tu ili kumpa mwendazake hitajio la moyo wake, bila kuangalia cultural-social dynamics za watu.

Tunajua Magufuli hakuwahi kuwapenda Wahaya, hata alipokuwa Waziri aliplay key role kwenye kuimega Chato kutoka mkoa wa Kagera.
Sasa hilo halikuishia hapo, leo tunakwenda kuimega Ngara na Biharamulo tena na kuiundia mkoa ili iweje?

Kama mnadhani kuunda mkoa ni kusogeza huduma kwa wananchi, basi uongezeeni bajeti mkoa wa Kagera na usogezeeni huduma ili huduma ziendelee kupatikana humohumo badala ya Kuumega mkoa huo.

Chato haina vigezo vya kuwa mkoa tunalazimisha mambo kumuenzi Marehemu bila kujali misingi ya utamaduni na historia za maingiliano ya watu wa maeneo husika.

Samia Iache Kagera kama ilivyo, ila Isogezee huduma zaidi!
Ndugu wala usihofu ile Historia yenu Wahaya ya Mitaa ya Maandazi ( Kinondoni ), Arusha ( Ilala ) na Wailes ( Temeke ) ambayo Wanawake wa huko Kwenu wanaidumisha na Sisi Wanaume tunaipenda wala haitopotea.
 
Legacy haipiganiwi kama ipo mida utafanya yote kwa sasa hapana mkoa Chato ni kuharibu rasilimali....kwanza waanze Moro labda Tabora .....miaka 10 waangalie vigezo ikifaa wataweka mkoa Chato kwa sasa hapana
 
Ila Magufuli alikua na roho ya ajabu sana,sishangai moyo wake kuwekewa umeme..."TOO SELFISH" ukifatilia historia ya kuanzishwa kwa wilaya ya Chato ni scenerio ile ile,alitumia ubabe na roho mbaya kulazimisha makao makuu yajengwe kwao.
Sawa tu.
Ila artificial growth huwa haidumu kivile.
Hata Dodoma alikuwa ashaanza kulazimisha mambo!!

Miji hujijenga natural, just like Dar es Salaam kukua kwake kumechukua miaka na miaka.

Wameshapeleka makao makuu ya nchi huko its Ok, waache mambo yaende taratibu mji utakuwa natural. Sio kwa kulazimisha!!
 
Na wewe ni mhaya? hivi mtu unakuwaje na majigambo hivyo ili hali unakula wadudu.....should we expect anything serious kutoka kwa mtu anayewinda na kula wadudu? aka senene....
Mkuu jiheshimu basi.
 
Enyi wahaya ni nani aliyewaroga lakini, tuondoleeni ukabila wenu hapa. Kuna mikoa kadhaa haitofautiani sana na Kagera kwa ukubwa wa eneo lakini ili magwa na kuanzishwa mikoa mipya lakini hatukusikia watu kulala mika! Mfano mzuri ni mkoa wa Shinyanga ulimegwa ukapatikana mkoa mpya wa Simiyu, Mwanza ilimegwa kupata Geita, Mbeya ilimegwa tukapaa Songwe halikadhalika Njombe nayo ilipatikana. Kote huko hatukusikia UJINGA kama wenu wa kutafsiri kila kitu kwa mtazamo wa kikabila.
Na ninyi mshukuruni sana Mwingereza mkoa wenu kuuacha Tanganyika mlipaswa muachwe kwa wenzenu wanaoabudu ukabila Rwanda ama Uganda na huko mngeshakipata mnachokitafuta, wangeshawafyeka msingekuwepo hata m1 wa dawa wapuuzi nyie.
Sijui umesoma historia vizuri wewe hao Wanyarwanda walikuwa wakienda kuomba kazi ya vibarua kwa wahaya na ilikuwa ni aibu Mhaya kuwaoa.
 
Back
Top Bottom