Kuunda Mkoa wa Chato ni kupoteza historia ya Wahaya, Mkoa wa Chato hauna maslahi kwa urithi wa utamaduni wa Mtanzania

Magufuli alikuwa anachukia Wahaya kwa sababu tangu ujanani walikuwa wakimuita "Mushuti" - Yaani Mrundi

Alikuwa na chuki na Uhaya, tangu alipofanya figisu kuichomoa Chato kutoka katika mkoa wa Kagera ni muendelezo wake wa kutaka kujidistance kutoka katika influence na cultural dominance ya wahaya katika hiyo region.

Na chuki yake mliishuhudia baada ya tetemeko.

Samia aachane na idea hii ya Mkoa wa Chato, haina mantiki
[emoji3][emoji3][emoji3]
Yaaan nmecheka mpak mbavu znauma maana uhayani kuitwa mushuti ni ile hali ya kudharauliwa yaan unakuwa ni dhaifu na duni sana
 
Kuweka record sawa,Ngara na Bihalamuro sio maeneo ya Wahaya,Ngara kuna Waangaza na Biharamulo ni wasubi,mimi nasapoti hizo wilaya za Ngara na Bihalamuro zitoke Kagera ili mbaki wahaya peke yenu muwe mnapigana katerero vizuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulishawai kupigwa katerelo nini maana ime-stick sana kwenye ubongo wako
 
Wider context ya uzi ni chuki tu. Kwamba anawachukia wahaya, ili iweje?. Unajenga taswira mbovu ili Hayati aonekane alikuwa mtu wa chuki.

Wakati utumishi wake haukuonyesha chuki. Alijenga barabara Tanzania yote, aliidhinisha pesa za kununulia ndege ili zitumiwe na watanzania wote. Viwanja vya ndege vimejengwa Tanzania yote.

Bandari zote zinaongezwa ukubwa. Unapojenga dhana kwamba aliwachukia wahaya unakuwa ukijaribu kumpa Hayati muonekano potofu. Aliyoyafanya hayakuwa na agenda ya chuki, kwanini awachukie wahaya?.

Hawezi kujitetea kwa sasa, sisi ambao bado tunapumua tunao wajibu wa kumtetea.

Mwendazake alikuwa na chuki hilo halifichiki hasafishiki kwenye hiyo sehemu
 
Mkuu mleta mada ulipoweka suala kwamba Magufuli aliwachukia wahaya ndio ulipoharibu kabisa ujumbe wako.

Mama yake JPM anayo asili ya hao wahaya na alipanga baada ya kustaafu aende kuishi Kagera. Uzi wako umepoteza maana baada ya kuandika kitu usichokijua.

Mimi ni mwenyeji wa Ngara na sio mhaya. Sio kila anayetoka Kagera ni mhaya.

[emoji849][emoji849][emoji849]
Mama yake Magu ni pure sukuma acha kutulisha matango pori Magu hana vinasaba vya Uhayani
 
Miminimeandika ninachokijua labda wewe ndo unajibu vitu usivyovijua

Mimi mwenyewe nina damu ya Kihangaza ndani yangu, lakini hii hainizuii kutambua kuwa Wahaya wamekuwa ni dominant katika huo mkoa na ndiyo Majority!

  • Sasa kwa akili zako ulidhani mimi sijui makabila madogomadogo yaliyoko Kagera?
  • Au kwa akili zako unadhani mimi naamini kwamba kuna mkoa wenye watu wa kabila moja tu ndani ya mipaka yake ya kiutawala?
  • Unadhani mimi sijui suala la wahaya, waziba,wanyambo, wahangaza, wasubi?
  • Unadhani mimi sijui koo ndogondogo za wahaya kama vile Warwani, Watundu etc?
Siku nyingine ukisoma mada, elewa wider context badala ya kuargue semantics
Aaah amekurupuka alfu anakwambia eti mama yake Magu alikuw na asili ya kihaya
 
Magufuli alitaka kuunda mkoa nyumbani kwake kwa utashi tu binafsi bila kujali vigezo vyenye mantiki vya kuunda mkoa huo.

Yaani katika muendelezo wake wa "unyumbani" akavunja protokali zote za kimantiki na kivigezo katika kuubda mkoa mpya.

Leo hii mkoa wa Geita ni miongoni mwa mikoa michanga kabisa ambayo haina umri hata wa miaka 20, lakini cha ajabu yanaletwa mapendekezo ya kukata eneo kutoka mkoa huo kwenda kuunda mkoa mwingine—Ili iweje?

Lakini kibaya zaidi, Leo tunakwenda kukata eneo la mkoa ambao by all standards ni mkoa kongwe, wenye historia ndefu, Mkoa wa Kagera, uliobeba historia ya nchi hii kwa utamaduni wake mzuri, historia ya falme zake, lugha yake n. k tunakwenda kumegua eneo katika huo mkoa na kuunda mwingine tu ili kumpa mwendazake hitajio la moyo wake, bila kuangalia cultural-social dynamics za watu.

Tunajua Magufuli hakuwahi kuwapenda Wahaya, hata alipokuwa Waziri aliplay key role kwenye kuimega Chato kutoka mkoa wa Kagera.
Sasa hilo halikuishia hapo, leo tunakwenda kuimega Ngara na Biharamulo tena na kuiundia mkoa ili iweje?

Kama mnadhani kuunda mkoa ni kusogeza huduma kwa wananchi, basi uongezeeni bajeti mkoa wa Kagera na usogezeeni huduma ili huduma ziendelee kupatikana humohumo badala ya Kuumega mkoa huo.

Chato haina vigezo vya kuwa mkoa tunalazimisha mambo kumuenzi Marehemu bila kujali misingi ya utamaduni na historia za maingiliano ya watu wa maeneo husika.

Samia Iache Kagera kama ilivyo, ila Isogezee huduma zaidi!
hii hoja nilisikia ameongea pia Askofu wa Tundulisu, anasema utakuwa umesambaratisha mshikamano wa watu akimaanisha utakuwa umewagawa wahaya. huu ni ukabila ambao hatuuhitaji hapa Tanzania. kwahiyo kumbe bado kuna watu wana ukabila na umikoa? mimi nimeoa mkoa wa mbali kabisa na kabila langu, sina ukabila kabisa, nahitaji kuungana na kujumuika na kushirikiana na kila mtanzania wa kabila lolote. hivi ninyi watu wa kagera mkigawanywa historia ya mkoa wenu au kabila lenu itafutikaje? mbona Iringa ilivyogawanywa njombe wakaondoka wakinga wabena na wapangwa historia ya mkoa wa iringa au kabila la wahehe imekufa? si ipo vitabuni? au mnataka kushirikiana ninyi peke yenu? au songwe ilivyogawanywa, au Geita ilivyogawanywa kwani imesambaratisha kabila la wasukuma? same applies to many others. acheni ukabila, ndio maana mnafanana na ndizi.
 
Kutoka Ngara mpaka Bukoba ni km300 kutoka Kakonko mpaka Kigoma mjini ni km284.

Hapo ndio ulipo umuhimu wa mkoa wa Chato. Wapo wengi tu wanafanya ukasuku wa kuongea vitu kwa kufuata mkumbo.
 
Hiki unachosema ingekuwa ni hoja kama tungeona mikoa mikubwa zaidi nchini ikigawanywa kwanza kabla ya ile midogo.

Au hoja yako ingemake sense zaidi kama ingeundwa mikoa midogomidogo miingi from the begining

Mkuu, huyo anajifanya hapa anatoa hoja lakini lengo lake ni tofauti kabisa,namely: kuwazodoa wahaya kiana-wengi wako hivyo hivyo wata rejoice all the year round in case Mkoa wa Kagera ukiwa annex - hawana tofauti na attitude za JPM kuhusu wenyeji wa Mkoa wa Kagera specifically Hayas!!
 
Kwa hiyo magu alijaribu kujinasabisha na wahaya, na nyie watani zangu ninavyowajua mkamchukulia kama kikaragosi, ndo akaenda kwa wasukuma, nilikuwa najiuliza kama ni msukuma pure maana nawajua wasukuma kwa sura na hulka zao, nikadhani labda atakuwa mzinza maana wao siwajui vizuri....kwa namna ninavyowajua waitu kwa majigambo siwezi kushangaa kwamba aliwachukia kinyama.
Yule sio msukuma ila baba yake wa kufikia ndio msukuma.hakuna msukuma mwenye roho mbaya isipokuwa yeye na bashite tu
 
Kutoka Ngara mpaka Bukoba ni km300 kutoka Kakonko mpaka Kigoma mjini ni km284.

Hapo ndio ulipo umuhimu wa mkoa wa Chato. Wapo wengi tu wanafanya ukasuku wa kuongea vitu kwa kufuata mkumbo.
Kweli? Kama umbali ungekuwa ni kigezo inakuwaje tena Hospitali ya Rufaa ya kada inajengwa Chato ambako hata wakazi wa Wilaya hawazidi hata laki tatu na nusu, hamuoni tatizo wakazi wa Mkoa wa Kagera ambao idadi yao inafikia million NNE plus wafunge safari kwenda Chato zaidi ya kilometa 400 kufuata matibabu - hapo mbona hoja ya umbali hamuwekei maanani!

Chato ilihamishiwa Mkoa wa Geita kutoka na shinikizo la Magufuli kwa Rais Mkapa kwa madai kwamba Chato ni mbali kwenda makao Makuu ya Mkoa mjini Bukoba,baadae kapendekeza makao makuu ya Mkoa wa Geita yawe Chato badala ya Geita,hilo lilipo shindikana kabuni plan "B" ya kuifanya Wilaya ya Chato iwe Mkoa kabisa kwa ku-annex Mkoa wa Kagera na Kigoma akitumia visingizio mbali mbali pamoja na kushinikiza/lazimisha mambo.
 
Magufuli alitaka kuunda mkoa nyumbani kwake kwa utashi tu binafsi bila kujali vigezo vyenye mantiki vya kuunda mkoa huo.

Yaani katika muendelezo wake wa "unyumbani" akavunja protokali zote za kimantiki na kivigezo katika kuubda mkoa mpya.

Leo hii mkoa wa Geita ni miongoni mwa mikoa michanga kabisa ambayo haina umri hata wa miaka 20, lakini cha ajabu yanaletwa mapendekezo ya kukata eneo kutoka mkoa huo kwenda kuunda mkoa mwingine—Ili iweje?

Lakini kibaya zaidi, Leo tunakwenda kukata eneo la mkoa ambao by all standards ni mkoa kongwe, wenye historia ndefu, Mkoa wa Kagera, uliobeba historia ya nchi hii kwa utamaduni wake mzuri, historia ya falme zake, lugha yake n. k tunakwenda kumegua eneo katika huo mkoa na kuunda mwingine tu ili kumpa mwendazake hitajio la moyo wake, bila kuangalia cultural-social dynamics za watu.

Tunajua Magufuli hakuwahi kuwapenda Wahaya, hata alipokuwa Waziri aliplay key role kwenye kuimega Chato kutoka mkoa wa Kagera.
Sasa hilo halikuishia hapo, leo tunakwenda kuimega Ngara na Biharamulo tena na kuiundia mkoa ili iweje?

Kama mnadhani kuunda mkoa ni kusogeza huduma kwa wananchi, basi uongezeeni bajeti mkoa wa Kagera na usogezeeni huduma ili huduma ziendelee kupatikana humohumo badala ya Kuumega mkoa huo.

Chato haina vigezo vya kuwa mkoa tunalazimisha mambo kumuenzi Marehemu bila kujali misingi ya utamaduni na historia za maingiliano ya watu wa maeneo husika.

Samia Iache Kagera kama ilivyo, ila Isogezee huduma zaidi!
Wala magufuli hakulikubali wazo hilo. Alisema viachiwe vigezo. Vigezo kwa hali ya sasa haviruhusu. Kwa hiyo hamna haja kumlaumu jpm kama alitaka kuanzisha mkoa wa chato jambo ambalo ni uongo.
 
Kweli? Kama umbali ungekuwa ni kigezo inakuwaje tena Hospitali ya Rufaa ya kada inajengwa Chato ambako hata wakazi wa Wilaya hawazidi hata laki tatu na nusu, hamuoni tatizo wakazi wa Mkoa wa Kagera ambao idadi yao inafikia million NNE plus wafunge safari kwenda Chato zaidi ya kilometa 400 kufuata matibabu - hapo mbona hoja ya umbali hamuwekei maanani!

Chato ilihamishiwa Mkoa wa Geita kutoka na shinikizo la Magufuli kwa Rais Mkapa kwa madai kwamba Chato ni mbali kwenda makao Makuu ya Mkoa mjini Bukoba,baadae kapendekeza makao makuu ya Mkoa wa Geita yawe Chato badala ya Geita,hilo lilipo shindikana kabuni plan "B" ya kuifanya Wilaya ya Chato iwe Mkoa kabisa kwa ku-annex Mkoa wa Kagera na Kigoma akitumia visingizio mbali mbali pamoja na kushinikiza/lazimisha mambo.
Kama hoja ilikubalika na inaendelea kukubalika na kuwepo mkoa mpya hakutaathiri uchumi wa taifa basi sioni ubaya wa maamuzi ya kuwa na mkoa mpya.
 
hii hoja nilisikia ameongea pia Askofu wa Tundulisu, anasema utakuwa umesambaratisha mshikamano wa watu akimaanisha utakuwa umewagawa wahaya. huu ni ukabila ambao hatuuhitaji hapa Tanzania. kwahiyo kumbe bado kuna watu wana ukabila na umikoa? mimi nimeoa mkoa wa mbali kabisa na kabila langu, sina ukabila kabisa, nahitaji kuungana na kujumuika na kushirikiana na kila mtanzania wa kabila lolote. hivi ninyi watu wa kagera mkigawanywa historia ya mkoa wenu au kabila lenu itafutikaje? mbona Iringa ilivyogawanywa njombe wakaondoka wakinga wabena na wapangwa historia ya mkoa wa iringa au kabila la wahehe imekufa? si ipo vitabuni? au mnataka kushirikiana ninyi peke yenu? au songwe ilivyogawanywa, au Geita ilivyogawanywa kwani imesambaratisha kabila la wasukuma? same applies to many others. acheni ukabila, ndio maana mnafanana na ndizi.

Please revisit your skewed comments - huna chochote cha maana ulicho zungumza zaidi ya kuwa driven na rabid hatred ya Wahaya - unashangaza sana,kwani kuna dhambi/kosa gani watu kuenzi tamaduni zao,mbona kuna Wizara inayo husika masuala ya utamaduni,kwa mawazo yako Wamasai ni wakabila kwa kuwa wanathamini mila zao - nani ambaye hajui kwamba Tanzania kuna makabila 120+, sasa ni kitu gani kinatofautisha kabila na kabila? Wewe unatakaje, kwamba Tanzania nzima iwe kabila moja - anaye taka ku-maintain culture yake basi huyo ni mkabila - hizo ndizo lugha mzitumiazo katika harakati zenu za kutaka kukwamisha maendeleo ya baadhi ya Mikoa hapa Tanzania.

Kitu kingine Wahaya wameoa na kuolewa na makabila mengine hapa Tanzania husitake kulaghai watu by manufacturing lame excuses za kukandia makabila ambayo una inbuilt issues NAYO, as I said revisit your comments unafikiri zina reveal kitu gani about your persona?
 
Huyu mwandishi lazima atakuwa mhaya. Nshomile mpaka formu foo wanajulikana tu hata asipojitaja!
 
Niambie nchi yoyote duniani ambayo ilishamaliza matatizo yake yote ? Mbona Arusha kwenda Moshi ni kilometa 80 na hamsemi ? Chato itakuwa mkoa utake usitake.
Kuhamia dodoma, kujenga ikulu mpya, kujenga Chato airport, kuanzisha mkoa mpya wa Chato ni matumizi mabaya Sana ya Kodi zetu havina tija kiuchumi labda tu kama matatizo yetu yangekuwa yamekwisha
 
Kihangaza ni kweli hakiingiliani na Kihaya lakini kisubi, kizinza na kikerewe zinaingiliana na kihaya sana tu.
Mmmmh hapana Wahaya lugha yao haiingiliana kabisa na wasubu au waangaza...tena ungeenda nje kidogo yaani Kihaya kinaingiliana sana na Kiganda na Kinyankore (Uganda) kuliko kisubi au kihangaza
 
Please revisit your skewed comments - huna chochote cha maana ulicho zungumza zaidi ya kuwa driven na rabid hatred ya Wahaya - unashangaza sana,kwani kuna dhambi/kosa gani watu kuenzi tamaduni zao,mbona kuna Wizara inayo husika masuala ya utamaduni,kwa mawazo yako Wamasai ni wakabila kwa kuwa wanathamini mila zao - nani ambaye hajui kwamba Tanzania kuna makabila 120+, sasa ni kitu gani kinatofautisha kabila na kabila? Wewe unatakaje, kwamba Tanzania nzima iwe kabila moja - anaye taka ku-maintain culture yake basi huyo ni mkabila - hizo ndizo lugha mzitumiazo katika harakati zenu za kutaka kukwamisha maendeleo ya baadhi ya Mikoa hapa Tanzania.

Kitu kingine Wahaya wameoa na kuolewa na makabila mengine hapa Tanzania husitake kulaghai watu by manufacturing lame excuses za kukandia makabila ambayo una inbuilt issues NAYO, as I said revisit your comments unafikiri zina reveal kitu gani about your persona?
Dadangu, kati ya makabila ninayoweza kuyaonea wivu au kuyachukia, wahaya lingekuwa la mwisho. mimi ni mwenyeji sana wa uhayani nawajua wahaya, nandio walinifundisha hata ile siku ya gulio..., you have nothing special in this country to stand above others. hamna chochote mnachoweza kuwaonea wivu. nikuulize mimi kama kabila mojawapo linaloonewa wivu, kama ni elimu, mmesoma kuliko wachaga? biashara hamjui, nashangaa hata mnavyong'ang'ana na ukabila wakati mnahitaji kusaidiwa na makabila mengine.
 
Magufuli alitaka kuunda mkoa nyumbani kwake kwa utashi tu binafsi bila kujali vigezo vyenye mantiki vya kuunda mkoa huo.

Yaani katika muendelezo wake wa "unyumbani" akavunja protokali zote za kimantiki na kivigezo katika kuubda mkoa mpya.

Leo hii mkoa wa Geita ni miongoni mwa mikoa michanga kabisa ambayo haina umri hata wa miaka 20, lakini cha ajabu yanaletwa mapendekezo ya kukata eneo kutoka mkoa huo kwenda kuunda mkoa mwingine—Ili iweje?

Lakini kibaya zaidi, Leo tunakwenda kukata eneo la mkoa ambao by all standards ni mkoa kongwe, wenye historia ndefu, Mkoa wa Kagera, uliobeba historia ya nchi hii kwa utamaduni wake mzuri, historia ya falme zake, lugha yake n. k tunakwenda kumegua eneo katika huo mkoa na kuunda mwingine tu ili kumpa mwendazake hitajio la moyo wake, bila kuangalia cultural-social dynamics za watu.

Tunajua Magufuli hakuwahi kuwapenda Wahaya, hata alipokuwa Waziri aliplay key role kwenye kuimega Chato kutoka mkoa wa Kagera.
Sasa hilo halikuishia hapo, leo tunakwenda kuimega Ngara na Biharamulo tena na kuiundia mkoa ili iweje?

Kama mnadhani kuunda mkoa ni kusogeza huduma kwa wananchi, basi uongezeeni bajeti mkoa wa Kagera na usogezeeni huduma ili huduma ziendelee kupatikana humohumo badala ya Kuumega mkoa huo.

Chato haina vigezo vya kuwa mkoa tunalazimisha mambo kumuenzi Marehemu bila kujali misingi ya utamaduni na historia za maingiliano ya watu wa maeneo husika.

Samia Iache Kagera kama ilivyo, ila Isogezee huduma zaidi!
Ili hoja zako ziwe na mashiko zungumzia jiographia ya Mkoa wa Kagera, Kigoma na Geita hususani Makao Makuu ya hiyo Mikoa. ITAPENDEZA pia ukagusia njia kuu za uchumi wa mikoa hiyo.

Ukiweza kufanya hivyo utagundua umuhimu wa kutenga baadhi ya Wilaya za kati kuunda Mkoa mpya. Yawezekana Mkoa huo kupewa jina la Chato ndio chanzo kikuu cha ubishani uliopo!!!
 
Mimi sioni kabisa mantiki ya kuongeza idadi ya mikoa. Wilaya zina kazi gani sasa?
Nchi hii ni kubwa kuwa na mikoa mikubwa mikubwa. Ni msingi huo Chama kimoja cha siasa Sera yake ni kuwepo kwa utawala wa majimbo.
 
Back
Top Bottom