Kuna njia rahisi sana za kujua kimetokea nini Kariakoo na majengo yamejengwa vipi na yapo kwenye hali gani.
Serikali ingetakiwa kutangaza tender kwa kampuni zenye utaalamu wa uchunguzi wa aina hii na waje na ripoti. Badala yake tunaweka Tume hizi fake ambazo zitaleta ripoti za kisiasa ambazo tusishangae zikabakia kusifia watu badala ya kutoa suluhisho. Tujiulize ni ripoti ngapi rahisi tu za watu kuuliwa kiholela mpaka leo zimekuwa maneno maputu.
Kampuni za uchunguzi wa namna hii ambazo ni za kitaalamu zingetumika hata kwa kizazi kijacho. Sasa tutaishia watu kushinda na kufanya vikao.
PIA SOMA
- Kamati ya Uchunguzi kuporomoka kwa jengo Kariakoo yazinduliwa