Salut sana kwenu waungwana wa jukwaa hili la JF.
Tulishakubaliana kwamba waliofanya vurugu ni vijana kutoka nchi jirani vile vile zile video ni zakutengenezwa.
Kuunda tume kuchunguza yaliyotokea ni kukaribisha upigaji.
Kiufupi tuendelee tu palepale tulipoishia. #December 9