Kuunda uchumi mkubwa kunahitaji maarifa. Sasa leo jifunze kupata maarifa kutoka kwenye lugha yoyote ile

Superpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
826
Reaction score
920
Kama kichwa Cha habari hapo juu Kinavyojieleza hapo juu ni kwamba lugha imekua sio tatizo tena kwa mtu kujipatia maarifa kutoka kwenye vitabu na nakala mbalimbali. Sasa mm leo nimekuletea video mbili part 1 inayohusu jinsi ya kutafsiri hardcopy na part 2 inayohusu kutafsiri softcopy kwa Tshs 2000 kwa zote mbili. I

Kwa maelezo zaidi ni pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…