Kuundwe siku ya mahouse girl, chama cha mahouse girl, kazi wanayofanya hakika ni ngumu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Moto unauma wewe assume kila siku unaungua kwenye kupika bado nguo za kusugua zinakusubiri. Kazi fulani hivi afu watu wanaidharau vibaya mno.

Sasa mbona na wenyewe wanazingua hawana umoja wao ni watu wanafanya kazi Kwa wakubwa kweli hakuna mjanja wa ku initiate Ka chama Hivi ikawa kazi RASMI.

Uyaya upo tangu na tangu mbona no kama tasnia abandoned officially.
 
Pia ni jambo la busara kuwafanya kuwa wake, yani kuwaoa housegirls kwasababu wana experience ya kulea na kufanya shughuli muhimu za nyumbani.
Unaweza ukamuoa na akawa mvivu hapo hapo. Mtu ukiajiriwa kuifanya kazi utaifanya hata kama hauijisikii au umechoka inabidi uifanye tu maana ndio unalipwa kwa sababu hiyo. Sasa unadhani akiolewa atakuwa hivo hivo? Jichangaje.
 
Point
 
Lengo langu ni kuwapa thamani kama wanawake wengine, nao pia wanasifia za kuwa wake, kuhusu kubadilika inatokana na tabia za mtu binafsi.
 
Back
Top Bottom