ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Unaweza ukamuoa na akawa mvivu hapo hapo. Mtu ukiajiriwa kuifanya kazi utaifanya hata kama hauijisikii au umechoka inabidi uifanye tu maana ndio unalipwa kwa sababu hiyo. Sasa unadhani akiolewa atakuwa hivo hivo? Jichangaje.Pia ni jambo la busara kuwafanya kuwa wake, yani kuwaoa housegirls kwasababu wana experience ya kulea na kufanya shughuli muhimu za nyumbani.
PointUnaweza ukamuoa na akawa mvivu hapo hapo. Mtu ukiajiriwa kuifanya kazi utaifanya hata kama hauijisikii au umechoka inabidi uifanye tu maana ndio unalipwa kwa sababu hiyo. Sasa unadhani akiolewa atakuwa hivo hivo? Jichangaje.
Lengo langu ni kuwapa thamani kama wanawake wengine, nao pia wanasifia za kuwa wake, kuhusu kubadilika inatokana na tabia za mtu binafsi.Unaweza ukamuoa na akawa mvivu hapo hapo. Mtu ukiajiriwa kuifanya kazi utaifanya hata kama hauijisikii au umechoka inabidi uifanye tu maana ndio unalipwa kwa sababu hiyo. Sasa unadhani akiolewa atakuwa hivo hivo? Jichangaje.