Ninachouliza naomba nipatie wapi kwenye Bible niende ili nipate hii habari ya kuungama kwa padri? sijaongea kichekesho wala sitaki mzaha, mimi nataka nipatie sura na mstari ktk kitabu cha biblia niende huko

muanzisha mada chizi,wewe mwendawazimu.

Wanaofikiria kwa masaburi ktk mambo ya dini utawajua tu..............
Ni kweli kuna umuhimu wa kuheshimu imani ya wenzako, lakini at the same time kama mtu ana valid questions si vibaya kuuliza. Hapa tunaelimishana bila kukehebiana ama kukashifiana.
Having said that, swali langu: Ni wapi kwenye Bible imesema tukaungame kwa padre ama askofu? nawasilisha

moyo wako umejawa matusi tu. Ndio maana imeandikwa kwa matendo yao mtawatambua!

mada iko correct kuwa hakuna mwanadamu ambaye twapaswa kutubu kwake, kwani njia ni moja tu. Yesu Kristo.
Hawa mnaowaabudu na kuwaita baba (jambo ambalo hata Yesu alilikataa) ni makosa. Si ndo hawa ambao wanapelekwa the HEAGUE kwa kunajisi watoto?
Sasa huyu hawezi kuomba afowadiwe x pics?
Acheni jazba na kuwa realistic.

Nawe hufai kabisa, issue hapa ni kuwa huu ni utani sio mambo ya The Hague.
Hayo ni maoni yako na you are entitled to your own opinions.unamaruni .....afta kuchwambwa like imepitwa na wakat naona umeamua kudivelge..ET WATAKA KUJUA WAP PAMEANDIKWA MKAUNGAME KWA PADRI...km issue ni hii asi ungeisiamamisha topic wth heading iendane...pole lakin mjomba ..jipange au km vip anzisha topic ingne...WAP PAMEANDIKWA TUKA UNGAME KWA PADRE..

mada iko correct kuwa hakuna mwanadamu ambaye twapaswa kutubu kwake, kwani njia ni moja tu. Yesu Kristo.
Hawa mnaowaabudu na kuwaita baba (jambo ambalo hata Yesu alilikataa) ni makosa. Si ndo hawa ambao wanapelekwa the HEAGUE kwa kunajisi watoto?
Sasa huyu hawezi kuomba afowadiwe x pics?
Acheni jazba na kuwa realistic.
Wewe wasema!

muanzisha mada chizi,wewe mwendawazimu.

mada iko correct kuwa hakuna mwanadamu ambaye twapaswa kutubu kwake, kwani njia ni moja tu. Yesu Kristo.

Hawa mnaowaabudu na kuwaita baba (jambo ambalo hata Yesu alilikataa) ni makosa. Si ndo hawa ambao wanapelekwa the HEAGUE kwa kunajisi watoto?

Sasa huyu hawezi kuomba afowadiwe x pics?

Acheni jazba na kuwa realistic.

jaman hii ni sehemu ya utani acheni jazba, kaka nimeipendaaa
Am catholic..... sinta take this joke personal kwakuwa utani ni jadi yetu....... kuhusu maungamo Kwa padri na biblia yapo kwenye agano la kale.... wazee waliagizwa wakifanya dhambi wamweleze kuhani mkuu ( leo ndio padri) na watoe sadaka Kwa kuhani na kuhani pekee anaipeleka madhabahuni..... pia yesu akisema Kwa petro ninawapa funguo.... chochote mtakachofungia etc..... angalia pia suala la padri kuwekwa walfu na kugeuzwa kuwa nabii wa mungu ama mwakilishi. ... ziko nukuu nyingi Za bible.... ntaweka linkMdada mmoja alienda kanisani kuungama,akaingia katika kichumba cha maungamo akapiga magoti mbele ya padri.akaanza kutaja dhambi zake.'dhambi zangu ni hizi,niliwatumia watu wengi sana messege za matusi na picha za ngono..'kabla hajaendelea padri akamsogelea karibu haraka haraka akamnong'oneza 'na mimi nifowadie'.
acha usoro na mambo ya diniMdada mmoja alienda kanisani kuungama,akaingia katika kichumba cha maungamo akapiga magoti mbele ya padri.akaanza kutaja dhambi zake.'dhambi zangu ni hizi,niliwatumia watu wengi sana messege za matusi na picha za ngono..'kabla hajaendelea padri akamsogelea karibu haraka haraka akamnong'oneza 'na mimi nifowadie'.
Avatar yako inashabihiana na punje ya akili 100%Mdada mmoja alienda kanisani kuungama,akaingia katika kichumba cha maungamo akapiga magoti mbele ya padri.akaanza kutaja dhambi zake.'dhambi zangu ni hizi,niliwatumia watu wengi sana messege za matusi na picha za ngono..'kabla hajaendelea padri akamsogelea karibu haraka haraka akamnong'oneza 'na mimi nifowadie'.