Kuungama kwa padri

Kuungama kwa padri

Ninachouliza naomba nipatie wapi kwenye Bible niende ili nipate hii habari ya kuungama kwa padri? sijaongea kichekesho wala sitaki mzaha, mimi nataka nipatie sura na mstari ktk kitabu cha biblia niende huko

unamaruni .....afta kuchwambwa like imepitwa na wakat naona umeamua kudivelge..ET WATAKA KUJUA WAP PAMEANDIKWA MKAUNGAME KWA PADRI...km issue ni hii asi ungeisiamamisha topic wth heading iendane...pole lakin mjomba ..jipange au km vip anzisha topic ingne...WAP PAMEANDIKWA TUKA UNGAME KWA PADRE..

muanzisha mada chizi,wewe mwendawazimu.

mada iko correct kuwa hakuna mwanadamu ambaye twapaswa kutubu kwake, kwani njia ni moja tu. Yesu Kristo.
Hawa mnaowaabudu na kuwaita baba (jambo ambalo hata Yesu alilikataa) ni makosa. Si ndo hawa ambao wanapelekwa the HEAGUE kwa kunajisi watoto?
Sasa huyu hawezi kuomba afowadiwe x pics?
Acheni jazba na kuwa realistic.

Wanaofikiria kwa masaburi ktk mambo ya dini utawajua tu..............

Ni kweli kuna umuhimu wa kuheshimu imani ya wenzako, lakini at the same time kama mtu ana valid questions si vibaya kuuliza. Hapa tunaelimishana bila kukehebiana ama kukashifiana.
Having said that, swali langu: Ni wapi kwenye Bible imesema tukaungame kwa padre ama askofu? nawasilisha

Kwa wakatoliki amri za kanisa zina nguvu kama za biblia. Naomba kuwasilisha

moyo wako umejawa matusi tu. Ndio maana imeandikwa kwa matendo yao mtawatambua!

Ni utani jamani acha jaziba za kuvaa mabomu kujilipua. Huyu anatania tu na wala hamaanishi kuwa kuna padri in the real sense alifanya hivyo. It is an imaginary situation that is interesting as a joke. Nimeipenda

mada iko correct kuwa hakuna mwanadamu ambaye twapaswa kutubu kwake, kwani njia ni moja tu. Yesu Kristo.
Hawa mnaowaabudu na kuwaita baba (jambo ambalo hata Yesu alilikataa) ni makosa. Si ndo hawa ambao wanapelekwa the HEAGUE kwa kunajisi watoto?
Sasa huyu hawezi kuomba afowadiwe x pics?
Acheni jazba na kuwa realistic.

Nawe hufai kabisa, issue hapa ni kuwa huu ni utani sio mambo ya The Hague.

unamaruni .....afta kuchwambwa like imepitwa na wakat naona umeamua kudivelge..ET WATAKA KUJUA WAP PAMEANDIKWA MKAUNGAME KWA PADRI...km issue ni hii asi ungeisiamamisha topic wth heading iendane...pole lakin mjomba ..jipange au km vip anzisha topic ingne...WAP PAMEANDIKWA TUKA UNGAME KWA PADRE..
Hayo ni maoni yako na you are entitled to your own opinions.
Bible ni reference ya kila kitu tunachotakiwa kukifanya ama kukitekeleza ktk ukristo. Kama watu wanafuata vitu ambavyo havipo ktk bible huo ni upotoshaji wa imani.
Ukiniambia nikatubu kwa binadamu mwenzangu wakati sijaona hilo kwenye Bible basi ninayo haki ya kuuliza na kupatiwa majibu based on biblical facts na sio facts za mapokeo wala jazba ama kejeli.
Thanks

mada iko correct kuwa hakuna mwanadamu ambaye twapaswa kutubu kwake, kwani njia ni moja tu. Yesu Kristo.
Hawa mnaowaabudu na kuwaita baba (jambo ambalo hata Yesu alilikataa) ni makosa. Si ndo hawa ambao wanapelekwa the HEAGUE kwa kunajisi watoto?
Sasa huyu hawezi kuomba afowadiwe x pics?
Acheni jazba na kuwa realistic.

Nashukuru kwa busara zako hapo kwenye red

mada iko correct kuwa hakuna mwanadamu ambaye twapaswa kutubu kwake, kwani njia ni moja tu. Yesu Kristo.

Hawa mnaowaabudu na kuwaita baba (jambo ambalo hata Yesu alilikataa) ni makosa. Si ndo hawa ambao wanapelekwa the HEAGUE kwa kunajisi watoto?

Sasa huyu hawezi kuomba afowadiwe x pics?

Acheni jazba na kuwa realistic.

Waph wewe ni kashfa kwa dini za watu kwani hata kwa madhehebu mengine hakuna wasiokua waadhilifu? Ni marangapi 2nasikia wachungaji wengine kwenye kashfa za ngono na nyinginezo nyingi. Ninavyojua no one is perfect kwahiyo kosa la padri mmoja lisiwe la waroman wote

Mdada mmoja alienda kanisani kuungama,akaingia katika kichumba cha maungamo akapiga magoti mbele ya padri.akaanza kutaja dhambi zake.'dhambi zangu ni hizi,niliwatumia watu wengi sana messege za matusi na picha za ngono..'kabla hajaendelea padri akamsogelea karibu haraka haraka akamnong'oneza 'na mimi nifowadie'.
Am catholic..... sinta take this joke personal kwakuwa utani ni jadi yetu....... kuhusu maungamo Kwa padri na biblia yapo kwenye agano la kale.... wazee waliagizwa wakifanya dhambi wamweleze kuhani mkuu ( leo ndio padri) na watoe sadaka Kwa kuhani na kuhani pekee anaipeleka madhabahuni..... pia yesu akisema Kwa petro ninawapa funguo.... chochote mtakachofungia etc..... angalia pia suala la padri kuwekwa walfu na kugeuzwa kuwa nabii wa mungu ama mwakilishi. ... ziko nukuu nyingi Za bible.... ntaweka link

Is Confession in Scripture? | Catholic Answers

Mdada mmoja alienda kanisani kuungama,akaingia katika kichumba cha maungamo akapiga magoti mbele ya padri.akaanza kutaja dhambi zake.'dhambi zangu ni hizi,niliwatumia watu wengi sana messege za matusi na picha za ngono..'kabla hajaendelea padri akamsogelea karibu haraka haraka akamnong'oneza 'na mimi nifowadie'.
acha usoro na mambo ya dini

Kwanza ni ujinga kudhani Biblia ina kila kitu cha wakati wa Yesu na kabla yake.Biblia ni zao la kanisa na ndio maana Yohana muinjili analitaja hili kwenye sura ya mwisho ya injili yake.Kwakuwa jukwaa hili ni la jokes ngoja niishie hapa.Ila usijeongopa wala kuongopewa Biblia haikuwa kitabu kimoja kama ukionavyo;Hao hao wakatoliki unaowatukana leo ndio walio kusanya na kukitunza kwa uaminifu mkubwa kabisa ndio leo we unakiona kama kilivyo.Kumbuka maandiko ni kwaajili ya mwanadamu na si mwanadamu kwaajili ya maandiko

Mdada mmoja alienda kanisani kuungama,akaingia katika kichumba cha maungamo akapiga magoti mbele ya padri.akaanza kutaja dhambi zake.'dhambi zangu ni hizi,niliwatumia watu wengi sana messege za matusi na picha za ngono..'kabla hajaendelea padri akamsogelea karibu haraka haraka akamnong'oneza 'na mimi nifowadie'.
Avatar yako inashabihiana na punje ya akili 100%

Back
Top Bottom