Rais Ruto na Rais Kagame, wameungana na Kwa sasa Tanzania imebakia kibogoyo sio bandari Wala makongamano ya kimataifa.
Kwa sasa mizigo ya eastern DRC inapitia Mombasa, Burundi nao wengi wameenda Mombasa, Rwanda kwa sasa anapitia mombasa.
Hao wote wanadai bora wakatembee umbali mrefu lakini gharama za bandari ya mombasa ni kidogo sana kuliko gharama za Dar Port.
Kwa sasa makongamano yote makubwa ya kidunia na kiafrika tutayasikia Kigali na Nairobi huo ndio ukweli.
Ushawishi wa Tanzania yenye viongozi wa aina hii Kwa sasa umekwisha na ile ugiant wetu kwenye ukanda huu umekufa kabisa.
Nani alaumiwe, na nani katufikisha hapa tulipo lazima tujitafakari ili tusonge mbele tofauti na hapo sijui.
Bandari tulipewa na Mungu na Kwa sasa miaka inavyokwenda mbele hiyo bandari inakwenda kujifia yenyewe kifo cha kikatili.