Pre GE2025 Kuunganika kwa Dkt. Slaa na James Mbatia kutanusuru upinzani Tanzania kutokomea kusikojulikana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Hawa viongozi wazoefu upinzani, ndio pekee turufu muhimu iliyobakia Tanzania, kuunusuru upinzani dhaifu sana uliopo na uliogawanyika pakubwa na kupoteza dira na uelekeo kabisa.

Muungano wa aina yoyote baina ya hawa waungwana unaweza kuleta ahuweni na pumzi mpya upinzani na pengine kuchochea na kubadili sura na uelekeo wa siasa za Tanzania tuendako, kulingana na aina na mtindo wa siasa zao kitaifa na kimataifa.

Haupo uwezekano wa upinzani kuimarika tena bila hawa viongozi wakongwe kurejea katika medani za siasa za Tanzania.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Dah. Mkuu unaishi enzi gani?
 
Dah. Mkuu unaishi enzi gani?
nadhani muhimu na ya maana zaid ni kunusuru huu upinzani dhaifu unaomomonyoka na kukosa uelekeo kabisaaaa. hayo majabali ya siasa yanaweza fanya jambo 🐒
 
Back
Top Bottom