Kuunganisha Nguvu kwa wenye matching aidea

Kuunganisha Nguvu kwa wenye matching aidea

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Wakuu ni kweli kabisa kwamba swala la capital limekuwa gumu sana hasa kwa new starter, na benki nyingi haziko tiyali ikuwakoposha fresh business man, wanapenda ambao wameisha anza na kikwazo kingine ni proparty za kuweka kama security ya mkopo,

- Upatikanaji wa mitaji kwa Tanzania ni swala gumu sana na watu wengi wamekuwa wakilia hili swala vijana wengi sana wemekuwa wakilia na kila mtu anakuambia ana Aidea but hana mtaji,

- Na soni suluhishao la mapema la hili swala kwani mabinki nayo yako kibiashara zaidi na yana riba kubwa sana kiasi kwamba mkopaji inabid kwenye aumie sana kwenye kulipa.

- T
UNGEWEZA KUPUNGUZA HILI TATIZO KAMA KWELI WATU WANGEJENGA UAMINIFU WA KUFANYA BIASHARA PAMOJA NA KUUNHANISHA MITAJI, ILA TATIZO KUBWA LINAKUWA

1. Tunapenda sana kufanya biashara individualy yaani kila mtu anataka aonekane anafanya biashara yeye kama yeye that is why watu hawataki kuunganisha nguvu

2. Uaminifu mdogo sana

PAMOJA NA MATATIZO YOTE HAYA INABIDI SASA WATU WAWEKE KANDO MASWALA MENGINE NA WAUNGANISHE NGUVU ZAO, MAKE TUKISEMA HAKUNA UAMINIFU NI KWELI BUT NI LINI UAMINIFU UTAKUJA? JE TUKAE TUSUBILI SIKU UAMINFU UKIRUDI NDO TUANZE KUUNGANISHA MITAJI?

Tukisema tusubiri tutakuja kukuta mwana si wetu make kama tuanavyo ona kila siku kuna wawekezaji wapya wa ndani na nje wanakuja kuwekeza Tanzania na wengi wao ni wakenya na hawa ukijaribu kuwachunguza wameunagainisha mitaji yao pamoja watu kama watano sita na kuja kuwekeza bongo na wala wakenya hawaji na mitaji mikubwa huku kwetu, ila sisi tunabaki kuaumu serikali haitupi mikopo wakati kenya wamesha laumu wakachoka na sasa wameamua watoke kivyao, haya tuanayo lalamikia ya mitaji hata kenya, uganda na kwenineko yapo sana.

OK WAKUU NAZANI TUNGEFANYA HIVI

1. Kwa wale wenye mawazo yanayo fanana ni bora sasa wakaanza kungalia namna ya kuunganisha nguvu, make tukisema kila mtu atoke kivyake ili ndugu, jamaa na marafiki wamuone kwamba anafanya biashara peke yake na mali zote ni zake haya na maana tena wakati wakutafuta sifa umeisha kwisha, wakati wakusema hatumaniniani umekwisha na now ni lazima watu wawe siliasi na si tuendelee na usanii wa kuto kuaminiana.

Na tuipende kufanya kivyetu make wenzetu wa EA hiki ndo kitu kinacho wasaidia sana hata kuagiza mizigo nje ya nchi ila sisi tunapenda sana kufanya kila mtu kivyake vyake

So
- Wale wa Miradi ya ufugaji kuku na waliopo maeneo ya karibu wanaweza fanya hivyo mfano

1. Dar watu wanaweza anza network za kuunganisha mitaji kwa biashara zinazo fanana mfano,
- UFUGAJI WA KUKU
- UFUGAJI WA NG'OMBE MAZIWA/NYAMA
- KILIMO CHA MBOGA
- MIGAHAWA NA KAZALIKA BIASHARA ZIKO NYINGI ILA HUO NI MFANO TU

Na hii inaweza kuwa kwa wale waliko sehemu za karibu Dar, mwanza, arusha, dodoma, mbeya, bukoba, tanga na kwingineko

Wakuu tykisema kila mtua atoke kivyake ili asifiwe na ndugu na jamaa, hatutaweza kufanikiwa kabisa, make wazungu wao wanaunganisha mitaji wanakuja kuwekeza huku sisi tunabakia kulalamika, ok tufukilie mwisho wa kulalamika kwa ishu ya mitaji ni lini<

NIBORA TUKAANZA ILI SIKU SYSTEAM ZIKIWA NZURI BASI TUKUTWE TUKO MBALI SANA NA SI TUSUBILI SYSYEAM ZIWE NZURI AMBAPO HATUJUI NI LINI,

Ok hayo ndo maoni wakuu
 
nimekupata mkuu kwenye kuunganisha mitaji naona lazima muweke makubaliano kabla ili mambo yaende sawa maana kuna marafiki wangu wawili walikuwa wanafanya biashara mwisho wa siku akakimbia na hela akiulizwa anasema kapata hasara
 
Ni kweli,
tangu nijiunge na jf nimekuta mialiko kadhaa yenye mawazo kama yako, kwa mfano JE saccos ipo na inaendelea, jamii farm group, forests dealers wapo na wote wamekutana humu humu, na kwa mbali wapo wanaotaka kufuga pamoja na wamo humu jamvini.

Changamoto zipo lazima tuzikabili, pili uchaguzi wa project ni changamoto nyingine.
 
Ni kweli kuna mambo kama hayo ila no way out ni lazima watu waunganishe nguvu kwa wale wenye mawazo yanayo fanana kwa sababu ukicheki wenzetu wakenya na hata Uganda ndo hivyo wanafanya so sisi tukibakia kusema uaminifu itakula kwetu na hakuna siku huo uaminifu utarudi so ni lazima tuutafute uaminifu,

Mimi nazani imefika wakati tuache usanii make hautusaidiii na tukisema tuendelee kukomaa wenyewe ni vigumu sana kutoka make ni lazima tufanye biashara kisasa zaidi tuendane na wakati ni lazima tufanye commercial Agriculture, ni lazima tuguge kibaishara na tushindane na wafugaji wengine kokote kule,

Na ishu nyingine ni kwamba tunapenda sana kufanya individualy kitu ambacho kwa sasa ni kigumu sana
 
Ni kweli,
tangu nijiunge na jf nimekuta mialiko kadhaa yenye mawazo kama yako, kwa mfano JE saccos ipo na inaendelea, jamii farm group, forests dealers wapo na wote wamekutana humu humu, na kwa mbali wapo wanaotaka kufuga pamoja na wamo humu jamvini.

Changamoto zipo lazima tuzikabili, pili uchaguzi wa project ni changamoto nyingine.

Ya ni kweli kuna watu kama hao, ila mimi napendekeza kwa wale wote wenye mawazo yanayo fanana wafanye process ya kuunganisha mitaji, na si lazima wote wawe wana janvi hata watu wa nje ambao si wanajanvi

Na iwe ni msukumo wa watu wenye mawazo kama hayo na isiwe ni mmoja kusukumwa kufaidika na mwingine

Mkuu, komandoo.umenena kweli kabisa kinacho tugarimu ni ukosefu wa uaminifu na ubinafisi usio na maana.
Tena katika suala la uaminifu ndo tatizo letu kubwa sana.
 
Mkuu, komandoo.umenena kweli kabisa kinacho tugarimu ni ukosefu wa uaminifu na ubinafisi usio na maana.
Tena katika suala la uaminifu ndo tatizo letu kubwa sana.

Wakati mwingine tunasingizia sana hizi sababu mbili ( Uaminifu/ubinafsi), lakini kuna sababu moja nyuma ya pazia haitajwi na wengi, uthubutu wa kulifanya jambo ni tatizo kubwa, wengi ni longo longo za maandishi zaidi.

Nina ushahidi wa kutosha, kuna kundi la watu 60 wa umri na uwezo tofauti, wanafanya jambo moja kila mmoja kwa viwango vyake.Hawana chama kinachowaunganisha, lakini wanasaidiana sana kupunguza gharama za uendeshaji na hakuna anayejuta kuingia ktk kundi hilo. Hawa wamethubutu kumshinda adui uoga,ubinafsi na kukosa uaminifu.

Kila mtu anasema hakuna uaminifu,sasa miongoni mwetu ni nani mwaminifu? Ina maana wote si waaminifu.Tujirekebishe.
 
Mkuu ni kweli kabisa kisingizio kimekuwa ni uaminifu, na ukiangalia kwa undani utagundua tatizo sio hilo bali tunalitumia kama ngao tu,

Na hata kama hakuna uamifu je tufanyeje? tuache mpaka utakapo patikana?

-Huu ni wakati wa kuunganisha nguvu, kuna makala moja nilikuwa naisoma kuhusu vijana wa nchi zingine kama NIGERIA NA HATA UGANDA NA KENYA WANAVYO UNGANISHA NGUVU ZAO, haya matatizo ya mitaji yako kila mahali na si Tanzania pekee, na wenzetu wamenza ili hata mambo yakiwa mazuri mbeleni yawakute wako kwenye systeam tiyali na si kubakia kulaumu tu

Mimi niko hapa Arusha na kuna Vijana wana graduate kenya na wanakuja tanzania kuanzisha biashara zao tena na mitaji midogo ila wao wanaunganisha nguvu, sisi tunabakia kusema tuko na idea ila hatuna capital na tunalalamikia uaminifu
 
ni kweli tatizo letu watanzania ni woga na kutokuwa na nia ya dhati kufanya mambo ya kibiashara. Ni lazima tutambue ya kwamba biashara yoyote ni lazima ujitoe muhanga na kuisimamia mwenyewe kikamilifu.. ni lazima mtumie muda mwingi kusimamia kazi zenu mfano kilimo/ufugaji mkubwa ni lazima usimamie mwenyewe kwa muda mwingi hata kama mmeajiri wafanyakazi wengi.

Watu wanafikiri kuungana na kumwaga mamilioni kwenye mtaji walioubuni ndio tayari wamekwisha pata mafanikio na hivyo basi wanarudi maofisini walimoajiriwa kusubiri faida iwafuate. Hii ni dhana potofu na ndio chanzo cha malalamiko ya kuzurumiana na kufa kwa mitaji/malengo. Unakuta wameungana watu 5 na kati yao watatu hawajatembelea shughuli kwa miezi 4, sasa hapa unategemea nini

TATIZO NI UVIVU NA KUTOKUWA SERIOUS
 
Yes mkuu, Tatizo linakuja pale mnakuwa mmeungana, Utakuta watu wameungana watatu halafu ni mmoja tu ndo anaye operate hiyo biashara wengine wana operate kwa limot control, hata kama itatokea loss ya ukweli woa wataona wanahujumiwa na mwenzao,

Na mimi sidhana kama watu wakiunganisha mitaji yao na wakawa wanaendesha kwa taratibu kuna tatizo hapa
MFANO:
1. Mnasajili lampuni

2. Mnakuwa na wafanya kazi, wanafanya kazi kwa mjibu wa taratibu za kampuni, wanalipwa kwa mjibu wa taratibu za kampuni,

3. Transaction zote zinakuwa zinafuata taratibu za kampuni

4. Masginatory ni wakurugenzi wote

SASA HAPA USANII UTATOKEA WAPI? MIMI NAAMINI TUKIUNGANA KWA TARATIBU ZOTE HAUNA SHIDA, HATA WAZUNGUNGU HUWA HAWAUNGANI KIENYEJI MAKE WANAFUATA TARATIBU ZOTE ZA KAMPUNI
,

malalamiko huwa yapo ingawa mnaungana kienyeji na hakuna sheria za kuwa linda na kuwaongoza katika kuendesha biashara zenu

Nimeipenda hii. Nani tuungane tuweke kiwanda kidogo cha kukamua alizeti.

Mkuu hii kitu ni nzuri sana endapo watu watakua siriasi, na nilazima katika kuunganisha mitaji mnahakikisha vitu vifuatavyo

1. Mna interest zinazo fanana- yaani kama ni kuku basi wate wawe na lengo la kufuga kuku,

2. Muwe na nia moja katika biashara

3. Taribu zote zifuatwe, ikiwemo kusajili kampuni na kiwango cha michango ya wahusika na gawio litakuwaje, na na uendeshaji utakuwaje, nani atafanya nini na kwa namna gani.

4. Watu wasiungane tu kienyeji bila kuwa na sheria za kuwaongoza
 
Nimeipenda hii. Nani tuungane tuweke kiwanda kidogo cha kukamua alizeti.

hili linawezekana kabisa ..... sioni kama kuna kikwazochochote

land, small factory building, machinery, packaging materials, operating capita

hivi vyote vipo .... wakipatikana watu wanne serious ....kilakitu kinamalizika bila ulalamikaji

tujikwamue jamani
 
nimekupata mkuu kwenye kuunganisha mitaji naona lazima muweke makubaliano kabla ili mambo yaende sawa maana kuna marafiki wangu wawili walikuwa wanafanya biashara mwisho wa siku akakimbia na hela akiulizwa anasema kapata hasara
Tuna shida sana kwenye uaminifu. Kwahiyo sheria lazima ipewe umuhimu katika kuunganisha mitaji maana ni kweli kidole kimoja hakivunji chawa. The more we form strong teams, the more we become able to compete.
 
Ni wazo zuri hili, kwa mitaji midogomidogo hii tunaingia gharama sana na kuzalisha kidogo. Umoja umewatoa wengi tatizo watanzania hata kutengeneza network tu ktk masoko wanakuwa wachoyo... na hili ni tatizo ndio maana hata biashara nyingi mwanzilishi akifa zinakufa. Binafsi ninanufaika sana na michango mbalimbali hapa, kuna watu wenye moyo wa kujitoa na kupenda maendeleo ya wote. Tayari kuna vikundi vya ufugaji kama kuku wa kisasa wafugaji wanakutana kiwanda cha Interchick na kupeana mawazo na utaalamu, lakini umoja unaofaa ni kuunga mtaji na kufanya kitu pamoja, kuunganisha / kuwa na network ya soko ili kuweza kushika soko kubwa na kudhibiti bei. Kuungana ili kuweza kumiliki au kuzalisha malighafi sisi wenyewe.
Binafsi nitatolea mfano wa ufugaji kuku, kwa mtaji mdogo bado tu watu wananunua chakula chote hawazalisha hata robo yake, na mbaya zaidi hata kununua mali ghafi na kusaga hapana, wananunua mifuko iliyokwisha sagwa na hii ni gharama kubwa na haupati faida. Kutokana na gharama hizi kubwa unaishia kuzalisha kitu kidogo ambacho huwezi kushika soko lolote maana iwe ni supermarket, hotel etc wanataka supply iwe constant na wewe na vimayai vyako au kuku uzalishao kidogo huo uwezo huna...
Ukiunganisha nguvu utaweza kuwa na mtaji wa kukuwezesha kununua mazao na kusaga tani kadhaa za chakula hivyo kuzalisha kuweza kuzalisha kwa wingi, njia nyingine ni kupata chakula hiki kwa tenda au contract kutoka kwa umoja wa wasindikaji wa JF hivyo kuwawezesha soko wao na wewe kupata hakika ya chakula hadi unauza
Lakini zaidi mkiweza kuwa na network ya soko basi hata ukipata tenda unajua nimtafuta fulani wiki hii apeleka (subcontract) badala yangu au tupeleke pamoja ili idadi fulani itimie. Hii pia inawapa sauti maana ukisikia wenzetu sijui wakulima wa pamba wamegomea bei ni kwasababu wana umoja ila kwa sie sidhani kila mtu kivyake kama itawezekana kutoka.
Binafsi naangalia uwezekano wa umoja au network ya wafugaji na wasindikaji ambao wako serious kwa hili, maana niwe mkweli mie sio mkulima! All the best
 
Nimependa sana mchango wako, Niseme bila kuunganisha mitaji hatutaweza kabisa kushindana ndani na nje ya nchi, ingawa michango kama hii yako watu wanaweza wasione umuhimu wake kwa sasa ila ipo siku watakuja kuiona ilikua ya maana sana, hata kama ni baada ya miaka 10,

Mimi sipemdekezi Vikundi, napendekeza watu wawe na kampuni zao kabisa kwa sababu kikundi cha watu hata 8 mnaweza kuwa na kampuni yenu na mkaweka na managment kabisa, na mwisho wa siku mkaja kuwa na kmapun i kubwa sana,

TATIZO KILA MTU ANATAKA AFUGE HAKUN ALIYE TIYALI KUUNGANISHA NGUVU, JIJI KAMA LA DAR KUNA WAFUGAJI ZAIDI YA 500000 kila mtu anafuga kidogo kidogo ila ingekuwa ni kuunganisha nguvu hata makampunu 90 tu yanatosha kuilisha Dar,

KUHUSU MARKET NETWORK

- Niliwahi kuleta wazo humu ila watu walilipotezea na kwa sababu akaunt yangu ya mwanzo imepigwa ban ningeweza kuliweka hapa,

Network ni muhimu sana na hata kupitia Jamii forum ingewezekana kutengeneza network nzuri sana ambayo ingesaidia watu kuuziana vitu wao kwa wao kama wanavyo fanya wahindi
 
Ahsante sana mie nimeongezea tu ila aliyetoa wazo hili anastahili pongezi, nimeishakaribishwa na Malila na hata kwenda kwenye baadhi ya project zake, ila mie ukulima wa mazao niseme kweli sipo huko. Lakini ni wazi wenzetu wamepiga hatua kubwa...
Nadhani kuna haja ya kufanyia kazi haya mawazo, ninaikumbuka hiyo hoja yako, tena samahani kama tulikukatisha tamaa maana ilikuja wakati usio mzuri. Ilikuwa kuna mdau anaulizia soko la mayai, nawe ulishauri watu waingie contract na wanunuzi kabla ya kuzalisha sasa kwa wakati ule isingekuwa muafaka kwake maana mayai yatamharibikia...
Lakini nadhani twende taratibu hadi na sie wafugaji zaidi ya kupeana ujuzi pia tuweze kutengeneza network hatimaye umoja ktk kuzalisha hadi kumiliki soko.

Back
Top Bottom