Kwa nini ununue eneo wakati kuna mapande ya kujikatia bure kabisa,nguvu yako tu.

unaweza kukodiwa mabouncer wa kinondoni
Malila mambo, afadhali nimekuona. naomba info za hilo pori, liko wilaya gani? Barabara je, inapitika mwaka mzima? Mpango mzima ukoje au ndo kama wakati ule?msaidie dadaako awe na shamba basi. Narubongo ndo ananiamsha sasa.
asante sana Malila hiyo ya Chalinze naona poa, Ruvu naona mto ule mmmm wanaletwa wawekezaji wa nje kwenye mito mikubwa. Huko kwetu poa ila mbali kwa sie wa wanyama kusafirisha products inakuwa cost. Hebu tu mobilize watu wapatikane wawili watatu tungeanza. Nitaangalia kwenye map haya maeneo yako wapi hasa. Please keep in touch!
Kuna mipori hapo Kidugalo karibu na Chalinze,usafiri wa basi upo kila siku toka Dar na kurudi,Kidunda pia kuna mipori haina mwenyewe kando ya mto Ruvu. Ukitaka wahi Kisaki, ila kisaki kuna wanyama waharibifu sana. Nenda Negero Handeni kuna mipori ya kufa mtu,tatizo la Negero hakuna manpower kabisa.
Halafu dada, ile mipori ya Iyovi njia ya kwenda kwenu mbona haina mwenyewe,nenda ujikatie utengeneze himaya.
Malila, haya ndio maneno.. kwani hawa wanouza leo hii si wazazi au babu zao walijigawia pia?! Ningependa sana kuchungulia hiyo mipori ya Kidunda, Kidugalo and Nagero Handeni na nimeorodhesha kwa kiwango cha kuvutiwa kufahamu hizo sehemu.
Jamani - Kuna watu wako katika hatua za mwisho mwisho katika mchakato wa kufungua bank ya kikundi. Naambiwa ziko mtu kama 50+ wana hisa kwa viwango tofauti sasa wana-appoint management halafu wao wote ni share holders. Ni watu wanafahamiana na kundi lao liko muda mrefu sio kwa kujuana kimtandao tu... lengo la kusema hili ni kwamba waTz tukiwa serious mengi yanawezekana. Hebu fikiria kama benki inaanza na watu 50+ tayari kama wateja, halafu kila mmoja awaambie wenzake watano, halafu huduma iwe super na product zinazohitajika kwa be ya kuridhisha... si wameshatoka hao wanahisa!

Kabla ya may kwisha nitakuwa nimeanza utaratibu wa kujikatia pande huko porini ili nianzishe himaya yangu.
Malila, haya ndio maneno.. kwani hawa wanouza leo hii si wazazi au babu zao walijigawia pia?! Ningependa sana kuchungulia hiyo mipori ya Kidunda, Kidugalo and Nagero Handeni na nimeorodhesha kwa kiwango cha kuvutiwa kufahamu hizo sehemu.
Jamani - Kuna watu wako katika hatua za mwisho mwisho katika mchakato wa kufungua bank ya kikundi. Naambiwa ziko mtu kama 50+ wana hisa kwa viwango tofauti sasa wana-appoint management halafu wao wote ni share holders. Ni watu wanafahamiana na kundi lao liko muda mrefu sio kwa kujuana kimtandao tu... lengo la kusema hili ni kwamba waTz tukiwa serious mengi yanawezekana. Hebu fikiria kama benki inaanza na watu 50+ tayari kama wateja, halafu kila mmoja awaambie wenzake watano, halafu huduma iwe super na product zinazohitajika kwa be ya kuridhisha... si wameshatoka hao wanahisa!
Komandoo, aliyeniambia aliita bank na yeye ni mmoja wa investors hivyo siwezi kujua ukweli hadi ikianza operation ndio nitajua. In either case, wao wamekusanya zaidi ya millioni 600 - kumbuka wako zaidi ya hamsini na kila mtu akija na angalau 12 milion unafikia lengo fast. Uzuri wengi ni watu wenye uhakika wa maisha including CEOs na wanasiasa. Nilichopenda ni vile kundi ni la siku nyingi na wanaji-organize well enought to mobilize resources at such a level.
If nothing more, binafsi nafarijika sana kuona kuwa waTz tunaweza.
asante mkuu, Tuko pamoja
Wakuu, ijumaa nilipiga kwata kwenda Kidugalo, ni km 97 toka Ubungo mpaka huko, barabara ni nzuri sana kwa viwango vya Kitanzania. Nchi huko ni kubwa sana ila population hakuna. Kuna swine wa porini hadi uwanjani kabisa, watu ni wavivu hadi una kasirika. Mahindi yanaota vizuri, lakini yote yamelimwa na wageni ambao ni walimu na mwinjilisti wa Kanisa. Ni taasisi moja tu iliyojikatia pande huko, tatizo la Kidugalo/Mtakayo ni maji, maji hakuna, ila ukichimba mabondeni waweza pata. Kidugalo hakuna wafugaji, hata mbuzi hakuna.
Nilipata fursa ya kuonana na mwenyekiti, alisema ukitaka pande basi unaomba kijijini kwa kulipia fee, kwa taasisi wanapewa bure kabisa eka 50. Taasisi za dini waliopo pale wameshaomba.Ili kufuga kule inabidi uchimbe kisima bila hivyo wanyama watastawi masika tu. Umeme unapitishwa kwenda Mango, kwa sasa uko Mzenga. Kama ni shamba la kulima mazao kwa kutegemea mvua, basi Kidugalo ndo kwenyewe. Hindi hindi na hogo hogo kweli kweli.Wavamizi wapo na wameshajikatia mipori. Hapa kwa wajanja, unaweza kupata eneo na ukafungua godown lako. Usafiri upo kuanzia Buguruni Dsm. Mchanga wa kujengea huko ni tatizo kwa sehemu kubwa.
Nikijaliwa nitawaletea habari za mipori ya Kidunda nikijaliwa kupata Muda.

AMA kweli "kwenye miti..." Watu tutafafuta mashamba wengine wanayatizama tu? Nimeipenda hiyo ya godown hasa Kama njia Sio mbaya - KM 97 ulisafiri kwa muda gani?
mmmm sounds good to me, Malila nakuaminia,
naona umeniconvince tayari kwa hapo Kidugalo maana kuna mahindi yanalimwa kumbe!
Basi tuwasiliane, nitakutumia email