Dah mkui hii thread nisha isahau kabisa, shukurani kwa kuileta, ni kweli mkuu kuunganisha nguvu kwa huku ni ishu ngumu sana na kila mtu anaona afe kivyake.
Dah mkui hii thread nisha isahau kabisa, shukurani kwa kuileta, ni kweli mkuu kuunganisha nguvu kwa huku ni ishu ngumu sana na kila mtu anaona afe kivyake.
Mkuu huu uzi umetulia sana kwa watu wenye malengo ya kutaka kupiga hatua hawawezi kupinga ulicho kiandika kwenye hii thread tatizo la uwoga ni mtaji mkubwa wa umaskini kuachive ukiwa alone inakua ngumu sana na sio rahisi that is why unakuta mtu anaanzisha biashara baada ya mda chaliii...tukubali waungwana kuunganisha nguvu mi naamini kabisa tutatoboa tu...."together we can"
Mlioko Dar, kuna pande zuri lenye maji ya kudumu ktk mito miwili halina mwenyewe, njooni tugawane tufanye ufugaji.
Hiyo ni SACCOS na si Benki make mtaji wa kuanzisha Benk kwa sasa ni More than one Bilioni kwa mujibu wa BOT, na kuna SACCOS zinamitaji ya kuwa Benki lakini still ni SACCOS,
Na hao 50 wote ni share holders. make kama ni share holders basi wanaelekea kwenye PUBLIC COMPANY, ila ni kazi nzuri