Q Qin New Member Joined Feb 29, 2024 Posts 2 Reaction score 1 Jul 24, 2024 #1 Nimelipia gharama za kuunganishwa na umeme toka mwezi February mwaka huu. Nimejisomba sana kwenda Tanesco kila leo mpaka sasa nimechoka. Nilipohamia kwenye nyumba nimepata tabu sana mwanzoni kutokana na giza ila mpaka nimeona sasa ni kawaida. Uwajibilaji uko wapi? Hizo nguo za toka February mpaka leo kweli? Mwanzo walikua kimya ila sasa tunatumiwa meseji za kuombwa kuwa wavumilivu, mpaka lini? TANESCO
Nimelipia gharama za kuunganishwa na umeme toka mwezi February mwaka huu. Nimejisomba sana kwenda Tanesco kila leo mpaka sasa nimechoka. Nilipohamia kwenye nyumba nimepata tabu sana mwanzoni kutokana na giza ila mpaka nimeona sasa ni kawaida. Uwajibilaji uko wapi? Hizo nguo za toka February mpaka leo kweli? Mwanzo walikua kimya ila sasa tunatumiwa meseji za kuombwa kuwa wavumilivu, mpaka lini? TANESCO
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Jul 24, 2024 #2 Hata mimi huu ni mwezi wa sita sijawekewa umeme kisa hakuna nguzo hapA KAHAMA. Hii ni nchi biashara ya serikali inakufa kisa wateja ni wengi.
Hata mimi huu ni mwezi wa sita sijawekewa umeme kisa hakuna nguzo hapA KAHAMA. Hii ni nchi biashara ya serikali inakufa kisa wateja ni wengi.
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Jul 24, 2024 #3 Maofisini wamejaa wajinga wengi na wala rushwa. Nilikuwa Tanga mjini nako watu wengi wamelipia maji ila hakuna mita na vifaa vingine vya kuunganishiwa maji huku wananchi wameshalipa pesa zao miezi kadhaa nyuma. Ni ujinga wa SGR.
Maofisini wamejaa wajinga wengi na wala rushwa. Nilikuwa Tanga mjini nako watu wengi wamelipia maji ila hakuna mita na vifaa vingine vya kuunganishiwa maji huku wananchi wameshalipa pesa zao miezi kadhaa nyuma. Ni ujinga wa SGR.