Nimelipia gharama za kuunganishwa na umeme toka mwezi February mwaka huu.
Nimejisomba sana kwenda Tanesco kila leo mpaka sasa nimechoka.
Nilipohamia kwenye nyumba nimepata tabu sana mwanzoni kutokana na giza ila mpaka nimeona sasa ni kawaida.
Uwajibilaji uko wapi? Hizo nguo za toka February mpaka leo kweli?
Mwanzo walikua kimya ila sasa tunatumiwa meseji za kuombwa kuwa wavumilivu, mpaka lini?
TANESCO