Ni vigezo vya kifigisu ili kupunguza idadi ya wagombea.Kamati ya uchaguzi ya TFF bilashaka inaundwa na watu wa mpira nchini, na watu wanaowania kugombea uongozi wa TFF ni watu wanaofahamika CV zao, hii kanuni ya endorsement kwa watia nia Iko kwa sababu gani?
Je, wanaotoa endorsements wanawafahamu zaidi watia nia kuliko walioko kwenye Kamati ya uchaguzi TFF inayosimamia mchujo na usimamizi wa wagombea?
Kwanini wajumbe wanaotoa hizo endorsements kwa watiania waidhinishe mgombea mmoja tu, lengo hapa lilikuwa ni lipi?
Je, ni rahisi kiasi gani mjumbe wa kigoma kumpa endorsement mtiania kutoka Lushoto Tanga?
Ni mbaya kiasi Gani kama watiania wote wakiruhusiwa kuingia kwenye uchaguzi kichaa wapiga kura wakatoa endorsements (kura) kwenye sanduku la kura siku hiyohiyo kwenye ukumbi wa mkutano?
Ninachokifahamu mm hakuna mtu atalipa TZS 500,000 zake kama hana sifa zinazohitajika, ila kutakuwa na wagombea ambao kura hazitatosha kutokana na sababu mbalimbali za kabla na wakati ya uchaguzi zikiwemo zile za sifa za wagombea zitakavyozidiana na utashi wa wapiga kura.
Lakini huko kwenye siasa hakuna kanuni ya mjumbe mmoja mgombea mmoja, huoni kwamba hii yenu ni tofauti? Ile ya kwenye siasa Ina lengo la kuiunganisha nchi na muungano, hii ya kwenu inalenga nini?Ni taratibu za kawaida bwana mdogo ata ukitaka urais wa nchi lazima uzunguks kila mkoa upate wadhamini , naona lugha inawachanganya
2015 magufuli alipata shida sana kupata endorsement kila alikokuwa anaenda Lowassa alikuwa keshawahi
Mwambie Mayai wenu ajipange uchaguzi uliopita alilalamika aya aya kwann hakujiandaa mapema kuwatafuta watu wamsupport anakuja kuanza kulia lia now
Kwahiyo magufuli alikuta wadhamini Nchi nzima wameshamdhamini EL?, kwanini tff wawe na ukomo wa wadhamini kumdhamini mtu mmoja na hao wadhamin ndio wao wapiga kura ya kuamua nani awe Rais?.Ni taratibu za kawaida bwana mdogo ata ukitaka urais wa nchi lazima uzunguks kila mkoa upate wadhamini , naona lugha inawachanganya
2015 magufuli alipata shida sana kupata endorsement kila alikokuwa anaenda Lowassa alikuwa keshawahi
Mwambie Mayai wenu ajipange uchaguzi uliopita alilalamika aya aya kwann hakujiandaa mapema kuwatafuta watu wamsupport anakuja kuanza kulia lia now
Wanaotoa endorsements ndio haohao wanaakwenda kupiga kura miongoni mwa wapiga kura . Kama mgombea hawamtaki waende kumkataa kwenye sanduku la kura, shinda ingetoka wapi wapo?Kwahiyo magufuli alikuta wadhamini Nchi nzima wameshamdhamini EL?, kwanini tff wawe na ukomo wa wadhamini kumdhamini mtu mmoja na hao wadhamin ndio wao wapiga kura ya kuamua nani awe Rais?.
Anayelia sio Mayay bhana, huyo tayari ni mtia nia jina lake limeshapitishwaNi taratibu za kawaida bwana mdogo ata ukitaka urais wa nchi lazima uzunguks kila mkoa upate wadhamini , naona lugha inawachanganya
2015 magufuli alipata shida sana kupata endorsement kila alikokuwa anaenda Lowassa alikuwa keshawahi
Mwambie Mayai wenu ajipange uchaguzi uliopita alilalamika aya aya kwann hakujiandaa mapema kuwatafuta watu wamsupport anakuja kuanza kulia lia now
Hii ya kwetu inataka wagombea wawe ni familia ys football, na watu wa mpira wanajuanaLakini huko kwenye siasa hakuna kanuni ya mjumbe mmoja mgombea mmoja, huoni kwamba hii yenu ni tofauti? Ile ya kwenye siasa Ina lengo la kuiunganisha nchi na muungano, hii ya kwenu inalenga nini?
Unalinganisha uchaguzi mkuu wa nchi na uchaguzi wa TFF, are you serious? Uchaguzi mkuu tunachagua usalama, utulivu huduma za msingi na uhusiano wetu na mataifa mengine. Uchaguzi wa TFF tunatafuta furaha yetu kwenye mpira wa miguu tu basi.Shida ni kwamba kuna watu wanaona uchaguzi wa TFF ni janja janja lakini uchaguzi mkuu wa serikali mtu akisema no reform no election ni muhaini mtu kama manara ni mtu mnafiki mnafiki tu kiufupi kila mtu apambane na hali yake sisi simba tuna sema karia aendelee ili awanyooshe vizuri.
Hoja ni kwanini kama kuna uchaguzi huru na haki huo udhamini unalenga nini kwa mtu mmoja? Na utaratibu hu wakutaka watu kuchukua fomu ni wanini ili hali wadhamini wameshaisha?. Yaani unaitisha uchaguzi huku tiali wagombea hawatapata wadhamini?.Wanaotoa endorsements ndio haohao wanaakwenda kupiga kura miongoni mwa wapiga kura . Kama mgombea hawamtaki waende kumkataa kwenye sanduku la kura, shinda ingetoka wapi wapo?
Simba mna ujinga mwingi sasa Karia ameinyoosha yanga kwa lipi? Yanga amechukua makombe mangapi karia akiwa Rais?. Akili za kimbumbu 😂Shida ni kwamba kuna watu wanaona uchaguzi wa TFF ni janja janja lakini uchaguzi mkuu wa serikali mtu akisema no reform no election ni muhaini mtu kama manara ni mtu mnafiki mnafiki tu kiufupi kila mtu apambane na hali yake sisi simba tuna sema karia aendelee ili awanyooshe vizuri.
Wanasema mwisho wa uchaguzi ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine. Inawezekana Karia alizikomba endorsements zote mara tu baada ya uchaguzi uliopota. Kwahiyo wagombea wengine hata kama wangeanza kutafuta wadhamini tangu mwezi February 2025 hado wangekosa tu. Hapa Kuna dalili ya nia ovu kwa viongozi na wajumbe wa TFF ya kuendelea kuwa madarakani kwa miaka 12,Hoja ni kwanini kama kuna uchaguzi huru na haki huo udhamini unalenga nini kwa mtu mmoja? Na utaratibu hu wakutaka watu kuchukua fomu ni wanini ili hali wadhamini wameshaisha?. Yaani unaitisha uchaguzi huku tiali wagombea hawatapata wadhamini?.
Anayesimamia uchaguzi sindio huyu huyu amayehusika na kuchukua wadhamini wote?, kila jambo lazima liwe na utaratibu.... Kila mgombea alipaswa kuanza mchakato wakutafua wadhamini baada ya kamati ya uchaguzi kuitisha uchaguzi, mtu bado ni kiongozi anaanzaje kutafuta wadhamini?. Mbaya zaidi hao wadhamini yeye ndio amewafanya kuwa viongozi kwenye maeneo yao.
Sasa mbona mnaanzisha kampeni ya karia must go na mnalalamika na kususa walete kati yaani karia mwakani atawanyoosha mlivyomchafua hvyo mtalipa.Simba mna ujinga mwingi sasa Karia ameinyoosha yanga kwa lipi? Yanga amechukua makombe mangapi karia akiwa Rais?. Akili za kimbumbu [emoji23]
Hapa swala sio aina ya uchaguzi mkuu hapa tunazungumzia sheria na kanuni ambazo zinawaengua watu kabla ya uchaguzi kwa muktadha huo mazingira yanafana japo uchaguzi ni tofauti.Unalinganisha uchaguzi mkuu wa nchi na uchaguzi wa TFF, are you serious? Uchaguzi mkuu tunachagua usalama, utulivu huduma za msingi na uhusiano wetu na mataifa mengine. Uchaguzi wa TFF tunatafuta furaha yetu kwenye mpira wa miguu tu basi.
Unachekesha wewe!!Sasa mbona mnaanzisha kampeni ya karia must go na mnalalamika na kususa walete kati yaani karia mwakani atawanyoosha mlivyomchafua hvyo mtalipa.
Kwenye uchaguzi Mkuu Kuna mambo mengi ya kuangalia kuliko kwenye mpira. Anachokifanya Karia na watu ni sawa na kile ambacho Juma Nkamia alitaka lkifanywe kwa Rais Magufuli, eti aendelee ili akamilishe kujenga reli na bwawa alizozianlzisha.Hapa swala sio aina ya uchaguzi mkuu hapa tunazungumzia sheria na kanuni ambazo zinawaengua watu kabla ya uchaguzi kwa muktadha huo mazingira yanafana japo uchaguzi ni tofauti.
Limepitishwa bila wadhamini?Anayelia sio Mayay bhana, huyo tayari ni mtia nia jina lake limeshapitishwa
Ina lengo la kuzuia upinzani au kuweka monopoly kwenye nàfasi zinazowaniwaLakini huko kwenye siasa hakuna kanuni ya mjumbe mmoja mgombea mmoja, huoni kwamba hii yenu ni tofauti? Ile ya kwenye siasa Ina lengo la kuiunganisha nchi na muungano, hii ya kwenu inalenga nini?