Baada ya muda wa kurejesha fomu kupita wahuni wanatangaza kuwa Karia kachukua endorsements 13 tu, wakitaka kuwaaminisha watu kuwa endorsements 34 ziko bado huko mitaani. Huo ni uhuni wa kiwango cha chini kabisa katika zama hizi za AI.Ina lengo la kuzuia upinzani au kuweka monopoly kwenye nàfasi zinazowaniwa
Sasa kama wameshatoa wote endorsement kwa mtu mmoja hao wagombea wengine wanapitaje ili wapigiwe kura? Huu mfumo hadi CAF na FIFA, ni mfumo mbovu sana. Ni ngumu mtu kutoka nje ya Rais wa aliyeko madarani kushinda ,tusitegemee mabadiliko kwenye soka letu,ni hovyo sana,nimeshangaa Magungu na Hersi nao wamemwunga mkono tena kwa wazi , hovyo kabisaWanaotoa endorsements ndio haohao wanaakwenda kupiga kura miongoni mwa wapiga kura . Kama mgombea hawamtaki waende kumkataa kwenye sanduku la kura, shinda ingetoka wapi wapo?
Ni uhuni wa ajabu ndo maana hatupati vyama vya soka hata mikoani,maana wanaopitishwa ni wale wanaomwunga mkono Karia,angalia mgogoro wa Temeke miaka iliyopita na sasa mgogoro wa ubungo,humwungi mkono piga ua utaenguliwa ili wabaki watu wa mtandao wake tuBaada ya muda wa kurejesha fomu kupita wahuni wanatangaza kuwa Karia kachukua endorsements 13 tu, wakitaka kuwaaminisha watu kuwa endorsements 34 ziko bado huko mitaani. Huo ni uhuni wa kiwango cha chini kabisa katika zama hizi za AI.
Inalenga katika kukuza biashara ya magendoLakini huko kwenye siasa hakuna kanuni ya mjumbe mmoja mgombea mmoja, huoni kwamba hii yenu ni tofauti? Ile ya kwenye siasa Ina lengo la kuiunganisha nchi na muungano, hii ya kwenu inalenga nini?
Huna akili kichwani, Watanzania tupo zaidi ya million 60 wanaokudhamini siyo lazima wawe wapiga kura kwenye chama bali wanachama tu.Ni taratibu za kawaida bwana mdogo ata ukitaka urais wa nchi lazima uzunguks kila mkoa upate wadhamini , naona lugha inawachanganya
2015 magufuli alipata shida sana kupata endorsement kila alikokuwa anaenda Lowassa alikuwa keshawahi
Mwambie Mayai wenu ajipange uchaguzi uliopita alilalamika aya aya kwann hakujiandaa mapema kuwatafuta watu wamsupport anakuja kuanza kulia lia now
Watu kama Karia wanapaswa kung'olewa hata kama ana mazuri yake lakini hatutaki watu wanaotaka kuzimiliki taasisi kama mali zao.Haiwezekani watiania wote wanalia na Karia, who is Karia.
Watu haohao wanaendorse na kupiga kura ni upuuzi mtupu, kwanini wasibaki na kazi ya kupiga kura kuelezea mawazo na hisia zao kwa wagombea?Huna akili kichwani, Watanzania tupo zaidi ya million 60 wanaokudhamini siyo lazima wawe wapiga kura kwenye chama bali wanachama tu.
Tff ingeweka hiyo endorsement uipate kwa wanachama wavilabu hapo wangekuwa na logic, ni upuuzi mtupu.
Karia pamoja na mazuri yake lakini amesababisha taharuki nyingi sana kwenye sajiri, transfers, ratiba, waamuzi na kuahirisha mechi. amesababisha taharuki kwa watanzania, mashabiki, wadhamini na wafanyabiashara wadogo dar es salaam. Lazima ashindanishwe na wagombea wengine kama kipimo cha mazuri na mabaya yake katika kipindi cha miaka 4 yake ya mwisho. Kukwepa ushindani sio sawa kwa njia za hivi.Watu kama Karia wanapaswa kung'olewa hata kama ana mazuri yake lakini hatutaki watu wanaotaka kuzimiliki taasisi kama mali zao.
Halafu yule Rais wa CAF ndio kaleta shida kila mwaka atakuwa anawapa $50,000/= maraisi wote wa Federation Africa.
Mfumo wa upigaji unaanzia CAF.
Karia kaisaidia nini Simba?Shida ni kwamba kuna watu wanaona uchaguzi wa TFF ni janja janja lakini uchaguzi mkuu wa serikali mtu akisema no reform no election ni muhaini mtu kama manara ni mtu mnafiki mnafiki tu kiufupi kila mtu apambane na hali yake sisi simba tuna sema karia aendelee ili awanyooshe vizuri.
Watu waliokuwa wanaivuruga ligi pale ni Kidau na Karia. Hawa akina Mnguto na Kasongo ni victims of the circumstances. Majuha na mapapa yenyewe ni KIDAU na Karia. Hawa walijigeuza nyangumi kutaka kuivusha Simba kuelekea nchi kavu. Kidau ndiye alikuwa mastermind katika kupanga ratiba na waamuzi. Kidau ni mbaya kumzidi hata Karia mwenyewe. Hafai hafai hafai.Karia kaisaidia nini Simba?
Ao wanayanga wanaomtaka mayai wao wenyewe walimnyima uongozi kwenye klabu yaoNi taratibu za kawaida bwana mdogo ata ukitaka urais wa nchi lazima uzunguks kila mkoa upate wadhamini , naona lugha inawachanganya
2015 magufuli alipata shida sana kupata endorsement kila alikokuwa anaenda Lowassa alikuwa keshawahi
Mwambie Mayai wenu ajipange uchaguzi uliopita alilalamika aya aya kwann hakujiandaa mapema kuwatafuta watu wamsupport anakuja kuanza kulia lia now
Haijaisaidia kitu ila kaisaidia yanga kuwa bingwa mara 3 mfululizo na masimango juu.Karia kaisaidia nini Simba?