Kuuza au kutouza nafaka nje: Serikali ichague kuumiza wengi au wachache

Kuuza au kutouza nafaka nje: Serikali ichague kuumiza wengi au wachache

Mwaka huu Kuna uhaba mkubwa sana wa vyakula hasa mahindi na mchele wewe kama unamahindi yalete huku kanda ya ziwa bei ni nzuri.
Huku bado gunia moja ni Tshs 1018000/.
Mzukuma hebu soma tenaaa Tsh?hahaha
 
Tungeboresha sera ya kilimo, kwa kuwashawishi matajiri angalau wale top 20 tulionao, wawekeze kwenye mashamba makubwa makubwa ya kilimo; na hatimaye kuzalisha zaidi, na kupeleka nje ziada ili tupate fedha za kigeni.​
Kiongozi umenena.
 
Kwa taarifa yako mtoa mada wakulima hata kwa hiyo bei ya 2000 kwa debe wanauza mazao yote tuu kwa maana hawana chanzo cha fedha
Ila wanauza wakiwa wanamlaani aliyewasababishia mateso haya
 
Rais hana msimamo na maono yake kwenye kilimo. Miezi mitatu iliyopita anasema Tanzania itakuwa kapu la chakula Africa, leo anasema Tanzania haina chakula cha kutosha kisitoke nje.
Unajiuliza hiyo ndoto yake ilikuwa ni ndoto
 
Mwaka huu Kuna uhaba mkubwa sana wa vyakula hasa mahindi na mchele wewe kama unamahindi yalete huku kanda ya ziwa bei ni nzuri.
Huku bado gunia moja ni Tshs 1018000/.
MKUU UNAMAANISHA BEI YA GUNIA NI 1018000/= MILIONI MOJA NA KUMI NA NANE ELFU ULIYOANDIKA AU NI TYPING ERROR TUJUE NI 118000/= YANI LAKI MOJA NA KUMI NA NANE ELFU?
 
Back
Top Bottom