Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Mzukuma hebu soma tenaaa Tsh?hahahaMwaka huu Kuna uhaba mkubwa sana wa vyakula hasa mahindi na mchele wewe kama unamahindi yalete huku kanda ya ziwa bei ni nzuri.
Huku bado gunia moja ni Tshs 1018000/.
Kiongozi umenena.Tungeboresha sera ya kilimo, kwa kuwashawishi matajiri angalau wale top 20 tulionao, wawekeze kwenye mashamba makubwa makubwa ya kilimo; na hatimaye kuzalisha zaidi, na kupeleka nje ziada ili tupate fedha za kigeni.
Kwann tusichochee uzalishaji kwenye kilimoTanzania bado haijajitoshereza kwa.chakula mpaka iuze nje.
Eti kwa kuuza debe tsh 2000 wataumia kidogo. Huu ni ujuhaTukuulize wewe umelima mwaka huu? Kama hujalima nyamaza. Nyie ndo mliozoea kuwaliza wakulima.
MKUU UNAMAANISHA BEI YA GUNIA NI 1018000/= MILIONI MOJA NA KUMI NA NANE ELFU ULIYOANDIKA AU NI TYPING ERROR TUJUE NI 118000/= YANI LAKI MOJA NA KUMI NA NANE ELFU?Mwaka huu Kuna uhaba mkubwa sana wa vyakula hasa mahindi na mchele wewe kama unamahindi yalete huku kanda ya ziwa bei ni nzuri.
Huku bado gunia moja ni Tshs 1018000/.